ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
SafiNdicho anachokitafuta Magufuli anataka ajenge historia akitoka awe amemaliza au kufanikiwa kabisa kwenye ishu ya miundombinu.
Treni ya umeme itatufanya tuishi kama ulaya hakuna haja ya kwenda nchi za watu wakati Tanzania nzuri ipo.komaa nao uache historia Mambo yako uliyoanzisha yadumu milele kizazi mpaka kizazi kazi zako zimekuwa makini awamu ya tano.hata ukijifanya mbishi lazima uelewe TU.
Ni kweliNdicho anachokitafuta Magufuli anataka ajenge historia akitoka awe amemaliza au kufanikiwa kabisa kwenye ishu ya miundombinu.
Treni ya umeme itatufanya tuishi kama ulaya hakuna haja ya kwenda nchi za watu wakati Tanzania nzuri ipo.komaa nao uache historia Mambo yako uliyoanzisha yadumu milele kizazi mpaka kizazi kazi zako zimekuwa makini awamu ya tano.hata ukijifanya mbishi lazima uelewe TU.
Ndicho anachokitafuta Magufuli anataka ajenge historia akitoka awe amemaliza au kufanikiwa kabisa kwenye ishu ya miundombinu.
Treni ya umeme itatufanya tuishi kama ulaya hakuna haja ya kwenda nchi za watu wakati Tanzania nzuri ipo.komaa nao uache historia Mambo yako uliyoanzisha yadumu milele kizazi mpaka kizazi kazi zako zimekuwa makini awamu ya tano.hata ukijifanya mbishi lazima uelewe TU.
Hii ni makala fupi inayoelezea mafanikio ya shirika la ndege la Tanzania la ATCL
Huyi mama ni Msomi wa Kenya.Ni nani huyu mwanamke?