Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

Ni kweli rais wetu hajui kuuma maneno, anasema tunajenga miradi ya maendeleo kwa fedha zetu wenyewe huku deni la taifa limekuwa kwa 20t+ ndani ya miaka minne. Rais wetu anasema akimaliza uhakiki wa vyeti fake atapandisha mishahara, saa hii anasema atapandisha kabla ya kutoka madarakani!

Zile mbwembwe alizoanza nazo saa hii kafika mahali ndio anaujua ukweli huku ameshalikoroga. Simply bundle limekata.
 
Tunajenga kwa fedha zetu wenyewe. Kwani mkopo sio fedha zetu.? Ukikopa benki ujajenga nyumba hiyo nyumba unakuwa umejenga wewe au imejenga benki. Kuna tofauti ya msaada na mkopo ambao unaulipa.
 
Mkuu ni kweli!! Lkn haya ukiwaambia watu Nyakanazi na vijijini watakuelewa zaidi.
 
Tunajenga kwa fedha zetu wenyewe. Kwani mkopo sio fedha zetu.? Ukikopa benki ujajenga nyumba hiyo nyumba unakuwa umejenga wewe au imejenga benki. Kuna tofauti ya msaada na mkopo ambao unaulipa.
Mkopo hauwezi kuwa fedha yako hilo ni deni lzm lilipwe
 
Unataka "akamue" huku hukati mauno pumbafu kabisa!!!

Kata mauno hata kama "tigo" imepata moto!!!
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
 
Kweli mkuu ila bado unanitafuta? Utakosa wachangiaji mkuu?
 
Sahivi hata tukiwa bar kweny viti virefu tunaheshimiana,,[emoji23][emoji23]
 
mm sijawai ombea hilo kwakweli.......jifunzeni kusemea nafsi zenu
 
Sasa hivi wadangaji wanapakuliwa haya kwa buku 2000,enzi zile wa chini kabisa bila ishirini elfu utabaki kuwaita mashemeji tu.

Kaheshima kwa sasa walau kapo kileleni ki-pierre liquid.
kabla ya yote mkuu bado mnanitafuta au asaiv mmeniacha...

MAGUFULI KAPUNGUZA WADANGAJI MJINI
 
Halafu ukitaka kunywa nenda baa za mbali sio jirani kwako kwa sababu mtaani kwako wanakujua wewe ni fala tu,watakushobokea kama vile Fedha kwako haisumbui, kumbe mzibua vyoo town centre.

Hahahahaha
Sahivi hata tukiwa bar kweny viti virefu tunaheshimiana,,[emoji23][emoji23]
 
Ukiona Msiba kwa jirani umepambwa na majirani huwezi kuutofautisha na harusi mpaka ufiwe.
 
Hawasemiwi Watanzania,ila upande ule walinanga sana kuwa Mstaafu Rais Kikwete alikuwa mpole,mwenye huruma nk.Anatakiwa apatikane rais mwenye ka-udikteta fulani hivi ili atunyooshe.Fuatilia vyanzo mbalimbali vya mawasiliano (magazeti,mitandao ya kijamii nk).Au wakati huo ulikuwa bado mwanafunzi wa kidato cha 4 shule ya Kata huko Mchomoro-Tunduru?

usiwasemee watanzania wengine, ni wewe na familia yako ndio mlikua mnataka rais dikteta.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…