Mtofautishe kati ya rais mkali alitakiwa na katili ,hivi ni vitu viwili tofauti .
Nami ni mlipa kodi na raia wa nchi hii nina haki ya kusifia na kufaidi ATCWewe binafsi unaenda mwanza unarudi, majority waliotoa pesa zao hawaifaidi. Serikali inayotoa huduma inayowanufaisha watu wachache at expenses of others ni gansger government.
Wewe unafurahia kwenda mwanza na kurudi huku watu hawana madawa wala vipimo, kipimo cha dengue tu ni tatizo wewe unafurahia kupanda ndege ambayo imenunuliwa na watu ambao hata hela ya panado hawana. Huo ni utaahira.
LolMbona akina Zitto and co kila siku wanamponda Magufuli? Kwanini makala or issue zote ni kumponda Magufuli? Don't you expect balance on that?
Tunajenga kwa fedha zetu wenyewe. Kwani mkopo sio fedha zetu.? Ukikopa benki ujajenga nyumba hiyo nyumba unakuwa umejenga wewe au imejenga benki. Kuna tofauti ya msaada na mkopo ambao unaulipa.
SHUPAVU wa Nyoko
Ndio lakini mkuu kuwa na malengo ni suala zuri mno
Hata mi naamini anamalengo
Lakini tatizo anayatimizaje? Hapo ndio anatakiwa awe makini zaidi
Uchumi sio kitu cha lelemama, Uchumi hauna kona kona lazima utembee kwenye njia zake
In whatever succumstances ,stay postive.Sio kila anayekusifia anakutakia mema!! Mwingine anakung'ong'a kisogoni
TbtKatibu mkuu kiongozi naye ni part ya matatizo, mheshimiwa Raisi wetu mpendwa Dr. Magufuli naye usimuache is part of the major problem of poor work performance of government institutions. Please deal with him.