Juzi niliona Member wetu mleta mada za jikoni akileta swali la uchokonozi kuhusu kwamba umaarufu wa Magufuli umeisha duniani, hii hapa kwenye picha ni kundi la watu huko Namibia baada ya kumuona Magufuli anaanza safari za nje wameanza movement Magufulification of Naminia
View attachment 1109329
Mitaa imeshaanza kuwekwa Bendera na picha za Magufuli
View attachment 1109332

Ungeelewa maana ya Habari!!? Ungejishangaa kwa nini Baba Askofu kakuita Kifutu......Kuna saccos moja hii habari inawauma mno!
kwanini hawajaweka picha ya Mbowe?Hivi kukubalika nje ya nchi au kutokukubalika kunapimwaje? Kwa kuwekwa picha ya mhusika? au kupokelewa au kwa jinsi unavyoongelewa kwa kule unachokifanya,MaCCM
Hivi ni lini Magufuli aliwahi kuwa maarufu ?Juzi niliona Member wetu mleta mada za jikoni akileta swali la uchokonozi kuhusu kwamba umaarufu wa Magufuli umeisha duniani, hii hapa kwenye picha ni kundi la watu huko Namibia baada ya kumuona Magufuli anaanza safari za nje wameanza movement Magufulification of Naminia
View attachment 1109329
Mitaa imeshaanza kuwekwa Bendera na picha za Magufuli
View attachment 1109332
Kumbe wapinzani ndo wana umia sana nimejua Leo, lakin mimi sitaki kunasibishwa na upinzani piaHuu uzi ungepata wachangiaji wengi kama hizo picha zingekua za Rais wa Kenya.
Wapinzani wanajipendekeza sana kwa Wakenya ungekuta thread imejaa kisa kumsifia Kenyatta.
Magufuli anakubalika ndani na nje ya nchi...Over
Weka namba ya simu mkuuHuu uzi ungepata wachangiaji wengi kama hizo picha zingekua za Rais wa Kenya.
Wapinzani wanajipendekeza sana kwa Wakenya ungekuta thread imejaa kisa kumsifia Kenyatta.
Magufuli anakubalika ndani na nje ya nchi...Over
kwanini hawajaweka picha ya Mbowe?
Sumu ya panya inauzwa shilingi 200 tu nyote mnakaribishwa.
[/Q
Hata mjinga kama wewe ungekuwa Rais wangeweka picha yako.
Katika kipindi hiki cha uongozi wake!Hivi ni lini Magufuli aliwahi kuwa maarufu ?
Baadhi ya watumishi wa Mungu wana mikono ya mabaunsa!Ungeelewa maana ya Habari!!? Ungejishangaa kwa nini Baba Askofu kakuita Kifutu......
Dada angu nenda kajielimishe What is News??
Umechemsha hilo sio group la MASHOKA!Naomba Link ya hilo group nijiunge
Umechemsha hilo sio group la MASHOKA!
Namba ya kazi gani mkuu?Weka namba ya simu mkuu
Mwambie mtoa mada akuombe radhiKumbe wapinzani ndo wana umia sana nimejua Leo, lakin mimi sitaki kunasibishwa na upinzani pia
Wahutu wanajifanya ni Watanzania saaana kuliko Watanzania wenyewe.Weka namba ya simu mkuu