Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

Juzi niliona Member wetu mleta mada za jikoni akileta swali la uchokonozi kuhusu kwamba umaarufu wa Magufuli umeisha duniani, hii hapa kwenye picha ni kundi la watu huko Namibia baada ya kumuona Magufuli anaanza safari za nje wameanza movement Magufulification of Naminia

View attachment 1109329

Mitaa imeshaanza kuwekwa Bendera na picha za Magufuli

View attachment 1109332

Naomba Link ya hilo group nijiunge
 
Mbona huo mtaa wenye bendera na picha ya Magufuli hamna watu? Au nyumba na miti ndio inayomkubali? Ni hivi Magufuli hakubaliki hapa nchini kama mnavyotaka tuamini bali anaogopwa kwa kuwa anatumia mbinu zisizo njema dhidi ya wananchi wake. Demokrasia pekee ndio kipimo cha kuonyesha anavyokubalika na yeye haheshimu demokrasia zaidi ya mabavu.

Kwa hiyo hata msipoteze muda kuweka picha zake huko Namibia au popote duniani, kwani hapa nyumbani analazimisha kukubalika kwa vitisho kupitia madaraka yake fullstop.
 
Juzi niliona Member wetu mleta mada za jikoni akileta swali la uchokonozi kuhusu kwamba umaarufu wa Magufuli umeisha duniani, hii hapa kwenye picha ni kundi la watu huko Namibia baada ya kumuona Magufuli anaanza safari za nje wameanza movement Magufulification of Naminia

View attachment 1109329

Mitaa imeshaanza kuwekwa Bendera na picha za Magufuli

View attachment 1109332
Hivi ni lini Magufuli aliwahi kuwa maarufu ?
 
Huu uzi ungepata wachangiaji wengi kama hizo picha zingekua za Rais wa Kenya.
Wapinzani wanajipendekeza sana kwa Wakenya ungekuta thread imejaa kisa kumsifia Kenyatta.
Magufuli anakubalika ndani na nje ya nchi...Over
Kumbe wapinzani ndo wana umia sana nimejua Leo, lakin mimi sitaki kunasibishwa na upinzani pia
 
Sio Jambo la ajabu roho ya Mungu kukuingia hata wewe unaweza kuikaribisha roho hio na ukafanikiwa.Kwa hiyo naona kabisa kwa dhamiri aliyonayo Magufuli katika kutetea raia wake kwenye matatizo yao na Nia aliyonayo Basi ile universe spiritual itakuwa imemwingia
Huu Ni mtazamo kwa mujibu wa utambuzi wangu.nawasilisha
 
Back
Top Bottom