SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 47,706
- 69,281
Mbona wewe ni mhutu lakini unamshabikia Rais wetu?Huu uzi ungepata wachangiaji wengi kama hizo picha zingekua za Rais wa Kenya.
Wapinzani wanajipendekeza sana kwa Wakenya ungekuta thread imejaa kisa kumsifia Kenyatta.
Magufuli anakubalika ndani na nje ya nchi...Over
Hivi kukubalika nje ya nchi au kutokukubalika kunapimwaje? Kwa kuwekwa picha ya mhusika? au kupokelewa au kwa jinsi unavyoongelewa kwa kule unachokifanya,MaCCM
Usilitaje bure jina la Bwana Mungu wako.Sio Jambo la ajabu roho ya Mungu kukuingia hata wewe unaweza kuikaribisha roho hio na ukafanikiwa.Kwa hiyo naona kabisa kwa dhamiri aliyonayo Magufuli katika kutetea raia wake kwenye matatizo yao na Nia aliyonayo Basi ile universe spiritual itakuwa imemwingia
Huu Ni mtazamo kwa mujibu wa utambuzi wangu.nawasilisha
Unaweza kuthibitisha unachokisema au unaropoka tu?Mbona wewe ni mhutu lakini unamshabikia Rais wetu?
Sijalitaja bure huoni nimenunua bando kwa HELA ndo nikaja hapa kupostUsilitaje bure jina la Bwana Mungu wako.
Kama roho ya Mungu iko kwako pia basi wataje wasiojulikana!Mbona roho ya Mungu iko kwa kila mtu aisee!Kama kweli roho yake iko juu yake akubali watu wasiojulikana wajulikane na watu waliopotea waonekane ,waliopigwa risasi uchunguzi ufanyike ,vyama vyote view kwenye level ground etc.Kama unafanya ubaguzi roho wa Mungu awezi kuwa juu yako soma biblia habari ya Sauli na Daudi uone roho ya Mungu ilikuwa wapi?
Yule raisi mpya wa Zimbabwe alivyokuja Tz barabara za posta yote na ya airport ilijaa bendera za ZimbabweJuzi niliona Member wetu mleta mada za jikoni akileta swali la uchokonozi kuhusu kwamba umaarufu wa Magufuli umeisha duniani, hii hapa kwenye picha ni kundi la watu huko Namibia baada ya kumuona Magufuli anaanza safari za nje wameanza movement Magufulification of Naminia
View attachment 1109329
Mitaa imeshaanza kuwekwa Bendera na picha za Magufuli
View attachment 1109332
Baadhi ya watumishi wa Mungu wana mikono ya mabaunsa!
ili upewe uteuzi baada ya kulamba nyayo za mkubwaNamba ya kazi gani mkuu?
Jeuri ya bk7 hiyo.Sijalitaja bure huoni nimenunua bando kwa HELA ndo nikaja hapa kupost
Anakubalika hakubaliki sio issueHuu uzi ungepata wachangiaji wengi kama hizo picha zingekua za Rais wa Kenya.
Wapinzani wanajipendekeza sana kwa Wakenya ungekuta thread imejaa kisa kumsifia Kenyatta.
Magufuli anakubalika ndani na nje ya nchi...Over
What the fvck is this nonsense?Juzi niliona Member wetu mleta mada za jikoni akileta swali la uchokonozi kuhusu kwamba umaarufu wa Magufuli umeisha duniani, hii hapa kwenye picha ni kundi la watu huko Namibia baada ya kumuona Magufuli anaanza safari za nje wameanza movement Magufulification of Naminia
View attachment 1109329
Mitaa imeshaanza kuwekwa Bendera na picha za Magufuli
View attachment 1109332