Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

Kumbuka alivyofanya hakun viongoz waliofikiria kufanya hvyo japokuwa ana mapungufu yake
Mbona huo mtaa wenye bendera na picha ya Magufuli hamna watu? Au nyumba na miti ndio inayomkubali? Ni hivi Magufuli hakubaliki hapa nchini kama mnavyotaka tuamini bali anaogopwa kwa kuwa anatumia mbinu zisizo njema dhidi ya wananchi wake. Demokrasia pekee ndio kipimo cha kuonyesha anavyokubalika na yeye haheshimu demokrasia zaidi ya mabavu.

Kwa hiyo hata msipoteze muda kuweka picha zake huko Namibia au popote duniani, kwani hapa nyumbani analazimisha kukubalika kwa vitisho kupitia madaraka yake fullstop.
 
Rafiki.....
Magulumbasi hajengi mfumo, anataka sifa za kwake mwenyewe na nia yake kubwa kizazi kijacho kimsahau baba yetu Nyerere.
Leo analazimisha wafanyakazi wa umma watumie TTCL na ATCL, je hùu ni mfumo au ni amri?
Huoni kuwa baada ya muda mfupi mashirika haya yatakufa tena yeye akiondoka madarakani?
Magulumbasi is a poor performer, tukianzia kwenye kivuko chake ambacho alikifuata yeye mwenyewe kukinunua na kikafa hata kabla ya kuanza kazi rasmi? https://www.google.com/url?sa=i&sou...aw0gzkzp2TYeNTdTKF_0MqnW&ust=1559178763163990
Twende kwenye issue ya meli ya samaki.
Kukamatwa kwa ndege ya Bomberdier Canada
Kuharibika kwa biashara ya mazao ya choroko, dengu, kunde na mbaazi.
Kuharibika kwa biashara ya korosho and alot of staffs.
Anapoonekana kafanya vizuri, uzuri wake ni wa muda mfupi tu na baadae uzuri unakuja kugeuka kuwa tatizo kubwa.
Akiambiwa ukweli anatumia mbinu za Kinyamanyafu, luketi, ndyeki nakadhali na matokeo yake wakosoaji huyeyuka ghafla na kukutwa baada ya masiku kadhaa wakiwa hoi kwa kipigo na mateso iwapo watakuwa na bahati. Vinginevyo wanayeyuka moja kwa moja kama Ben Saanane, Azory etc
Kaka kusema toka aingie kila kitu kinakufa huo unafki sasa.Hakuna kiongoz asiye na madhaifu lakn magu anastahili hongera kaonesha utofaut na viongoz waliopita
 
Binafsi nimefurahishwa na kasi ya Dkt. Magufuli. Naamini wapo pia wengi wanaoungana nami katika furaha hii. Magufuli ameanza kwa kasi ambayo kama ataimaintain, Tanzania haimalizi miaka mitano itakuwa tayari ni nchi yenye kipato cha kati.

Hata hivyo wapo baadhi yetu ambao wanakejeli kasi hiyo. Hao kwangu ni watu waliozoea ubwete na bora liende!. Wanamwona Magufuli kuwa ni mtu atakayekuwa kauzibe kwao!

Wapigaji wote, wavivu wote na wazee Wa madili wote watamchukia Magufuli ila mi niseme na niwaombe tu kwamba tumpe support huyu jamaa kiukweli atatufikisha mahali Fulani!

Tuwafichue wote wanapanga kumhujumu (najua wanajulikana), tuwakatae kwani hawana nia njema na taifa letu.

Habari zaidi, soma =>Toka kwa Wananchi: Kero na Vitendo vya kifisadi vinavyoendelea nchini vinavyotakiwa kufuatiliwa...
 
Kumbuka alivyofanya hakun viongoz waliofikiria kufanya hvyo japokuwa ana mapungufu yake

Hata wazungu walifanya makubwa kama kujenga reli, elimu bora nk lakini tuliwaondoa. Kufanya chochote ni wajibu wake, hiyo haitoi uhalali wa kutotenda haki.
 
Najua Kuna watu wanaomba sana rais wetu aanguke lakini kaeni mkijua Magufuli atakufa physical body lakini spiritual ataendelea kuishi kwa miaka Zaid ya 20 mbele.hii Ni kutokana na dhamira yake aliyonayo kwa watanzania.shida iliyopo Ni kwamba wapinzani wetu hawataki kuamini Chochote ambacho serikali inakifanya yaani wamekataa kabisa kuelewa SoMo.eti kwa mfano wanaambiwa Zimbabwe inataka kununua korosho wenyewe wanabisha wanaona Kama serikali Ni mchezo wa kuigiza..acheni kuwaza Kama watu ambao hamjasoma serikali Ni kitu serious Haina utani..hayo mengine sijui kusema Zimbabwe Ni masikini unayajua wewe lakini serikali zina watu wake ambao wako makini Sana wanalipwa mishahara kwa ajili ya kufanya assessment ya Jambo kabla ya kulitangaza.ninachotaka kuwaambia Ni kwamba hakuna lisilo wezekana.
Tukirudi kwenye maada yangu nilitaka niweke sawa Jambo moja kwamba kwa Sasa Tanzania imeshajua ukweli wote maarifa yanaongezeka watu wamejua tofauti ya rais mkali mwenye MISIMAMO na Yule dhaifu.so hata UCHAGUZI ujao tutachagua rais mwenye UTAMBUZI wa mambo mengi ambaye hayupo tayari kuona MAFISADI Wana endelea kutamba.tuna watu Kama wakina bashiru,Makonda,kabudi,dk slaa,Peter msigwa
Hawa ndio vichwa ambao roho ya Magufuli inaweza kuwaingia na wakafanya maajabu Kama vile ambayo boss Magufuli anayafanya.
 
Umenena vizuri kiongozi.
 
Nenda kakae Zimbabwe japo kwa wiki moja, believe me huu upupu wako hapa utatafuta jinsi ya kuufuta. Zvadakabenda shamwari.

Kamongo mwingine

Mjenge institution na system iliyoimara tusijenge kwa watu ili Bata akitawala mtu yoyote aweze kuendeleza kilichokuwepo na sio kubomoa.
 
Dodoma anahamia lini? amewasukumia wenzake kwenye ofisi za mabanda ya mabati alafu yeye anakula tu upepo wa bahari huko magogoni, uzalendo ni matendo sio porojo.
 
Naamini akiondoka leo kitakachotokea ni kuanza kurejesha mengi aliyoharibu mfano demokrasia, diplomasia na mataifa mengine, kuimarisha uchumi nk..within weeks atakuwa amesahaulika
 
Najua Kuna watu wanaomba sana rais wetu aanguke lakini kaeni mkijua Magufuli atakufa physical body lakini spiritual ataendelea kuishi kwa miaka Zaid ya 20 mbele.hii Ni kutokana na dhamira yake aliyonayo kwa watanzania.shida iliyopo Ni kwamba wapinzani wetu hawataki kuamini Chochote ambacho serikali inakifanya yaani wamekataa kabisa kuelewa SoMo.eti kwa mfano wanaambiwa Zimbabwe inataka kununua korosho wenyewe wanabisha wanaona Kama serikali Ni mchezo wa kuigiza..acheni kuwaza Kama watu ambao hamjasoma serikali Ni kitu serious Haina utani..hayo mengine sijui kusema Zimbabwe Ni masikini unayajua wewe lakini serikali zina watu wake ambao wako makini Sana wanalipwa mishahara kwa ajili ya kufanya assessment ya Jambo kabla ya kulitangaza.ninachotaka kuwaambia Ni kwamba hakuna lisilo wezekana.
Tukirudi kwenye maada yangu nilitaka niweke sawa Jambo moja kwamba kwa Sasa Tanzania imeshajua ukweli wote maarifa yanaongezeka watu wamejua tofauti ya rais mkali mwenye MISIMAMO na Yule dhaifu.so hata UCHAGUZI ujao tutachagua rais mwenye UTAMBUZI wa mambo mengi ambaye hayupo tayari kuona MAFISADI Wana endelea kutamba.tuna watu Kama wakina bashiru,Makonda,kabudi,dk slaa,Peter msigwa
Hawa ndio vichwa ambao roho ya Magufuli inaweza kuwaingia na wakafanya maajabu Kama vile ambayo boss Magufuli anayafanya.
Ngoja wapite hapa uone uharo utakaoletwa..hahahaha..jamaa hawapendi kusikia ukweli
 
Dodoma anahamia lini? amewasukumia wenzake kwenye ofisi za mabanda ya mabati alafu yeye anakula tu upepo wa bahari huko magogoni, uzalendo ni matendo sio porojo.
Hahaha hizi ndio sera zenu..lol...kweli mmefilisika..hamwezi walau kutuambia mambo ya maendeleo...? Hivi nyinyi ni watanzania kweli..? I doubt
 
Naamini akiondoka leo kitakachotokea ni kuanza kurejesha mengi aliyoharibu mfano demokrasia, diplomasia na mataifa mengine, kuimarisha uchumi nk..within weeks atakuwa amesahaulika
Nikujibu moja tu hapa..demokrasia ndani ya chama chenu yenyewe imewashinda..hivi mnaweza demokrasia ya nchi yote...hivi demokrasia inaruhusu kuwa na mwenyekiti wa milele..kama ndio mnaita demokrasia sawa..demokrasia yenu hairuhus chaguzi huru ndani ya chama..hiyo nayo demokrasia..basi sawa
 
Najua Kuna watu wanaomba sana rais wetu aanguke lakini kaeni mkijua Magufuli atakufa physical body lakini spiritual ataendelea kuishi kwa miaka Zaid ya 20 mbele.hii Ni kutokana na dhamira yake aliyonayo kwa watanzania.shida iliyopo Ni kwamba wapinzani wetu hawataki kuamini Chochote ambacho serikali inakifanya yaani wamekataa kabisa kuelewa SoMo.eti kwa mfano wanaambiwa Zimbabwe inataka kununua korosho wenyewe wanabisha wanaona Kama serikali Ni mchezo wa kuigiza..acheni kuwaza Kama watu ambao hamjasoma serikali Ni kitu serious Haina utani..hayo mengine sijui kusema Zimbabwe Ni masikini unayajua wewe lakini serikali zina watu wake ambao wako makini Sana wanalipwa mishahara kwa ajili ya kufanya assessment ya Jambo kabla ya kulitangaza.ninachotaka kuwaambia Ni kwamba hakuna lisilo wezekana.
Tukirudi kwenye maada yangu nilitaka niweke sawa Jambo moja kwamba kwa Sasa Tanzania imeshajua ukweli wote maarifa yanaongezeka watu wamejua tofauti ya rais mkali mwenye MISIMAMO na Yule dhaifu.so hata UCHAGUZI ujao tutachagua rais mwenye UTAMBUZI wa mambo mengi ambaye hayupo tayari kuona MAFISADI Wana endelea kutamba.tuna watu Kama wakina bashiru,Makonda,kabudi,dk slaa,Peter msigwa
Hawa ndio vichwa ambao roho ya Magufuli inaweza kuwaingia na wakafanya maajabu Kama vile ambayo boss Magufuli anayafanya.
ugoro
 
Nenda kakae Zimbabwe japo kwa wiki moja, believe me huu upupu wako hapa utatafuta jinsi ya kuufuta. Zvadakabenda shamwari.
Kwenda kule..zimbabwe wengine tumeishi..sio kukaa tu..unalosema halipo..
 
atuambie kwanza trilion 2.4 zetu ziko wapi?
Pesa vote 20 kabakisha sh ngapi?
Atwambie kwa nini ATCL haikaguliwi?
Aseme amewanunua wapinzani njaa kuunga mkono juhudi kwa sh ngapi ?

Hakuna serikali ya kifisadi kama hii tangu tupate uhuru
 
Back
Top Bottom