Ummayed
JF-Expert Member
- May 21, 2019
- 6,155
- 2,580
Kumbuka alivyofanya hakun viongoz waliofikiria kufanya hvyo japokuwa ana mapungufu yake
Mbona huo mtaa wenye bendera na picha ya Magufuli hamna watu? Au nyumba na miti ndio inayomkubali? Ni hivi Magufuli hakubaliki hapa nchini kama mnavyotaka tuamini bali anaogopwa kwa kuwa anatumia mbinu zisizo njema dhidi ya wananchi wake. Demokrasia pekee ndio kipimo cha kuonyesha anavyokubalika na yeye haheshimu demokrasia zaidi ya mabavu.
Kwa hiyo hata msipoteze muda kuweka picha zake huko Namibia au popote duniani, kwani hapa nyumbani analazimisha kukubalika kwa vitisho kupitia madaraka yake fullstop.