Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

Naamini akiondoka leo kitakachotokea ni kuanza kurejesha mengi aliyoharibu mfano demokrasia, diplomasia na mataifa mengine, kuimarisha uchumi nk..within weeks atakuwa amesahaulika
Una ndoto za rohoni jomba..atakayefanya yote hayo ni nani sasa..kwa sababu zinazotekelezwa kwa sasa ni ilani ya CCM..sio ya mtu binafsi..unachekesha..hata hivyo rais ajaye atatoka CCM..au unadhani atatoka wapi jombaa
 
atuambie kwanza trilion 2.4 zetu ziko wapi?
Pesa vote 20 kabakisha sh ngapi?
Atwambie kwa nini ATCL haikaguliwi?
Aseme amewanunua wapinzani njaa kuunga mkono juhudi kwa sh ngapi ?

Hakuna serikali ya kifisadi kama hii tangu tupate uhuru
Hahaha ningekushauri..kwanza fuatilia mabilioni ya fedha yaliyoliwa na vyama vyenu yale ambayo CAG! MKAGUZI MKUU WA HESABU ZA SERIKALI ameyabaini..hayo mnayafumbia macho mnajifanya hamuoni..hahahah mnarukia serikali ambayo inapambana na mafisadi...mna laana nyie..! Hivi SACCOS yenu bado inakopesha magari jombaa
 
atuambie kwanza trilion 2.4 zetu ziko wapi?
Pesa vote 20 kabakisha sh ngapi?
Atwambie kwa nini ATCL haikaguliwi?
Aseme amewanunua wapinzani njaa kuunga mkono juhudi kwa sh ngapi ?

Hakuna serikali ya kifisadi kama hii tangu tupate uhuru
Unaweza kuniambia eneo moja tu ambalo unalipa kodi forodhani..!! Kiasi cha kuita pesa zenu..?? Au umetumwa..!!,
 
Kwenda kule..zimbabwe wengine tumeishi..sio kukaa tu..unalosema halipo..
Acha uzuzu,ambalo halipo ni nini? That street slang 'zvakabenda'? It stands for 'things aren't right' au ambalo halipo hauamini kama Zim hakuna hata hela za kulipa watumishi wa serikali mishara na watoe wapi pesa ya kununulia korosho.
 
Najua Kuna watu wanaomba sana rais wetu aanguke lakini kaeni mkijua Magufuli atakufa physical body lakini spiritual ataendelea kuishi kwa miaka Zaid ya 20 mbele.hii Ni kutokana na dhamira yake aliyonayo kwa watanzania.shida iliyopo Ni kwamba wapinzani wetu hawataki kuamini Chochote ambacho serikali inakifanya yaani wamekataa kabisa kuelewa SoMo.eti kwa mfano wanaambiwa Zimbabwe inataka kununua korosho wenyewe wanabisha wanaona Kama serikali Ni mchezo wa kuigiza..acheni kuwaza Kama watu ambao hamjasoma serikali Ni kitu serious Haina utani..hayo mengine sijui kusema Zimbabwe Ni masikini unayajua wewe lakini serikali zina watu wake ambao wako makini Sana wanalipwa mishahara kwa ajili ya kufanya assessment ya Jambo kabla ya kulitangaza.ninachotaka kuwaambia Ni kwamba hakuna lisilo wezekana.
Tukirudi kwenye maada yangu nilitaka niweke sawa Jambo moja kwamba kwa Sasa Tanzania imeshajua ukweli wote maarifa yanaongezeka watu wamejua tofauti ya rais mkali mwenye MISIMAMO na Yule dhaifu.so hata UCHAGUZI ujao tutachagua rais mwenye UTAMBUZI wa mambo mengi ambaye hayupo tayari kuona MAFISADI Wana endelea kutamba.tuna watu Kama wakina bashiru,Makonda,kabudi,dk slaa,Peter msigwa
Hawa ndio vichwa ambao roho ya Magufuli inaweza kuwaingia na wakafanya maajabu Kama vile ambayo boss Magufuli anayafanya.
Unfortunately, itabidi Rais ajaye atumie zaidi ya mwaka mmoja kusafisha uozo na Magu.

Itabidi airudishe nchi kwenye jumuiya ya watu wastaarabu. Sasa tumekuwa laughing stock huko duniani.

Itabidi tujue zile Trillion 4.8 zilienda wapi ili zirudishwe.
Itabidi mawaziri warudie kufanya kazi zao sio kila kitu kifanywe au kuamuliwa Ikulu.
Itabidi tupate Rais mwenye kujua lugha za Kiswahili na Kingereza kwa ufasaha.
Mambo ni mengi
 
Najua Kuna watu wanaomba sana rais wetu aanguke lakini kaeni mkijua Magufuli atakufa physical body lakini spiritual ataendelea kuishi kwa miaka Zaid ya 20 mbele.hii Ni kutokana na dhamira yake aliyonayo kwa watanzania.shida iliyopo Ni kwamba wapinzani wetu hawataki kuamini Chochote ambacho serikali inakifanya yaani wamekataa kabisa kuelewa SoMo.eti kwa mfano wanaambiwa Zimbabwe inataka kununua korosho wenyewe wanabisha wanaona Kama serikali Ni mchezo wa kuigiza..acheni kuwaza Kama watu ambao hamjasoma serikali Ni kitu serious Haina utani..hayo mengine sijui kusema Zimbabwe Ni masikini unayajua wewe lakini serikali zina watu wake ambao wako makini Sana wanalipwa mishahara kwa ajili ya kufanya assessment ya Jambo kabla ya kulitangaza.ninachotaka kuwaambia Ni kwamba hakuna lisilo wezekana.
Tukirudi kwenye maada yangu nilitaka niweke sawa Jambo moja kwamba kwa Sasa Tanzania imeshajua ukweli wote maarifa yanaongezeka watu wamejua tofauti ya rais mkali mwenye MISIMAMO na Yule dhaifu.so hata UCHAGUZI ujao tutachagua rais mwenye UTAMBUZI wa mambo mengi ambaye hayupo tayari kuona MAFISADI Wana endelea kutamba.tuna watu Kama wakina bashiru,Makonda,kabudi,dk slaa,Peter msigwa
Hawa ndio vichwa ambao roho ya Magufuli inaweza kuwaingia na wakafanya maajabu Kama vile ambayo boss Magufuli anayafanya.
Kwani amekuambia atakufa lini? Toa uchuro wako hapa
 
Yaani mkuu haupo serious! Unamfanisha JPM na Makonda huyu!? Tutake radhi, acha ushamba kurahisisha mambo.
 
Hahaha kwani anataka kufa?! Au ccm mmemchoka tayari?! Hizo sifa za huyo anayekufa ni zipi?!
 
Haya maono yako kuhusu kifo yalimtia matatizoni Mh Lema
 
Binafsi nimefurahishwa na kasi ya Dkt. Magufuli. Naamini wapo pia wengi wanaoungana nami katika furaha hii. Magufuli ameanza kwa kasi ambayo kama ataimaintain, Tanzania haimalizi miaka mitano itakuwa tayari ni nchi yenye kipato cha kati.

Hata hivyo wapo baadhi yetu ambao wanakejeli kasi hiyo. Hao kwangu ni watu waliozoea ubwete na bora liende!. Wanamwona Magufuli kuwa ni mtu atakayekuwa kauzibe kwao!

Wapigaji wote, wavivu wote na wazee Wa madili wote watamchukia Magufuli ila mi niseme na niwaombe tu kwamba tumpe support huyu jamaa kiukweli atatufikisha mahali Fulani!

Tuwafichue wote wanapanga kumhujumu (najua wanajulikana), tuwakatae kwani hawana nia njema na taifa letu.

Habari zaidi, soma =>Toka kwa Wananchi: Kero na Vitendo vya kifisadi vinavyoendelea nchini vinavyotakiwa kufuatiliwa...
Vipi Karibia anakwenda nini?Asafadhali.
 
Ndani ya Awamu yake moja kaiharibu nchi vibaya sana kakibomoa chama kuliko raisi yoyote aliopita
 
Binafsi nimefurahishwa na kasi ya Dkt. Magufuli. Naamini wapo pia wengi wanaoungana nami katika furaha hii. Magufuli ameanza kwa kasi ambayo kama ataimaintain, Tanzania haimalizi miaka mitano itakuwa tayari ni nchi yenye kipato cha kati.

Hata hivyo wapo baadhi yetu ambao wanakejeli kasi hiyo. Hao kwangu ni watu waliozoea ubwete na bora liende!. Wanamwona Magufuli kuwa ni mtu atakayekuwa kauzibe kwao!

Wapigaji wote, wavivu wote na wazee Wa madili wote watamchukia Magufuli ila mi niseme na niwaombe tu kwamba tumpe support huyu jamaa kiukweli atatufikisha mahali Fulani!

Tuwafichue wote wanapanga kumhujumu (najua wanajulikana), tuwakatae kwani hawana nia njema na taifa letu.

Habari zaidi, soma =>Toka kwa Wananchi: Kero na Vitendo vya kifisadi vinavyoendelea nchini vinavyotakiwa kufuatiliwa...
Uchumi wa kati umefika sasa?
 
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli , leo mchana amefanya ziara ya kushtukiza katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili na kukutana na hali ya kumsikitisha.

Rais amesikitishwa na kuhuzunishwa na hali ya huduma kwa wagonjwa hususan wanaolala chini. Pia amekasirishwa na hali ya kutokujali wala kushughulikia vifaa vya kufanyia kazi ambapo amekuta mashine muhimu za uchunguzi wa magonjwa kama vile MRI na CT-SCAN zikiwa hazifanyi kazi kwa muda wa miezi miwili sasa, ilihali mashine kama hizo katika Hospitali za binafsi zinafanya kazi na wagonjwa wanaelekezwa kwenda kutafuta huduma huko?. Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue amesema na kutoa maelekezo yafuatayo :

Rais amevunja Bodi ya Hospitali ya Taifa ya Muhimbili ambayo ilishamaliza muda wake na amemteua Prof. Lawrence Mseru , kukaimu nafasi ya Mkurugenzi Mkuu wa Muhimbili kuanzia kesho tarehe 10 Novemba, 2015.

Dkt. Hussein L. Kidanto ambaye ndiye anayekaimu hivi sasa, amehamishiwa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii ambako atapangiwa kazi nyingine.

Balozi Sefue pia amesema, Rais ametoa wiki moja na kwa vyovyote si zaidi ya wiki mbili kwa uongozi mpya wa Muhimbili kuhakikisha kuwa mashine zote za uchunguzi wa magonjwa ambazo hazifanyi kazi zinafanya kazi na kuhudumia wananchi kama ipasavyo.

Tayari Wizara ya Fedha imetoa shilingi bilioni 3 kwa ajili ya kazi hiyo na kulipa madeni ya ukarabati wa mashine za uchunguzi wa magonjwa nchini.

Hata hivyo Katibu Mkuu Kiongozi amesema kuanzia sasa hospitali zote nchini zinatakiwa kutenga fedha kutoka kwenye mapato yao wenyewe na kuhakikisha mashine na vifaa vyote vya kazi vinafanya kazi wakati wote (Regular Maintenance).

Balozi Sefue pia metumia nafasi hii kuwaagiza watendaji na viongozi wote katika sehemu za kazi kuhakikisha wananchi wanahudumiwa ipasavyo na kazi za umma zinatekelezwa ipasavyo.

Hakutakuwa na huruma kwa watumishi wa Umma wasiojali wananchi na mahitaji yao. Amesisitiza Balozi Sefue.

Mwisho

Imetolewa na;

Premi Kibanga,
Mwandishi wa Habari wa Rais Msaidizi,
Ikulu ? Dar es Salaam.
9 Novemba, 2015
Balozi Sefue yupo wapi kwa sasa?
 
1.Ambao maisha kwao ni raha tu/bila chembechembe ya shida
2.Tulipata wadangaji wa kutosha wake kwa waume.
3.Tulipata walevi wengi wa Pombe
4.Tulikuwa na kizazi cha watumia madawa ya kulevya.
5.Mashoga waliongezeka.
6.Vijana hawakupenda shule
7.Vijana waliolewa sana na wamama watu wazima.
8.Matapeli wengi
9.Kipindi ambacho Vijana walifanya maamuzi rahisi na si maamuzi sahihi
10.Nchi isingeweza kujengwa na wasiofanya kazi!!!
"Pamoja na mapungufu yako kama mwanadamu,pa 1 sana JPM"
 
Kuna mambo mimi naungana naye na kumpongeza, ingawa kwenye suala la utawala wa sheria ambako kuna kutii sheria napata tabu kumuunga mkono. Sijui wengine. Namuona ana jambo jema kwa nchi hii ila kuyafikia hayo haki nyingi za raia zinakandamizwa. Tunajua kuna ushenzi mwingi ulitamalaki katika nchi hii na Rais wetu amedhamiria kuutokomeza na anaonekana kweli kudhamiria, ila katika kufikia huko n vizuri sheria wtu zikawa za haki na zikafuatwa katika kila hatua ya kuwashughulikia hawa washenzi - wabadhirifu,wezi, wauza madawa n.k.
 
Back
Top Bottom