Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

Low I.Q,magufuli ni product ya uchaguzi acha washindane akiwashawishi achaguliwe hizo audio clips ni uvunjifu wa katiba wazi ,hamna kitu cha kutisha humo pia ni akili mbovu ulazimishe watu wakukubali hata manabii na mitume walipingwa na wengine wakasulubiwa

Acha wa Tanzania wenyewe wapime hamna haja ya kutumia nguvu kubwa hivi,ni dalili ya kutojiamini na uoga

Kumbe magufuli ndio maana anaomba tumuombee?[emoji1787][emoji3]
 
Misri mlishafika AFCON mkala goli za kutosha na mkatolewa katika mashindano.
 
Jpm nimjuaye ni yule ambaye kelele za mlango hazimnyimi usingizi,jpm lisongeshe
 
Kwa chama kama CCM hali kama hii kila plae uchaguzi mkuu unapkaribia ni kawaida sana...

Ndiyo siasa ilivyo, huwezi ukaachiwa peke yako utawale smoothly lazima wata ku challenge...

Cc: mahondaw
 
Kama unaweza bet. Jina Rais wa sasa wa Tanzania basi. Unaliwa tena Unaliwa mcha kweupe.

Hana mchezo Wala Usije fanya mchezo na agizo lake Wala Usije cheka wakati hacheki.

Amesema amesema 5 years sasa Tz hakuna mgao na usiniulize nin kafanya
Miaka mitano sasa hakuna bei kupanda na usiniulize kafanya nini.

Miaka mitano na tuna madege yakutisha usiniulize kafanya nn.

Kizazi cha majizi anakifuta kabisa kama sio kukipoteza ktk system

Miradi yote kukamilika before 2025 nalazima imalizike kama. Una duwa lingine omba ila usi bet Rais wa sasa utaliwa tutusa
 
Huu ujinga kwamba nchi nzima hakuna mgao sijui hapo Lumumba hii hoja mmeitoa wapi?

Tofauti zama zile ilikuwa ni rahisi kusema kuna mgao bali zama hizi mambo ni kimya kimya. Kwani mgao maana yake ni nini?
 
Wakati miradi inakamilika 2025 atakuwa chato anafuga ngombe
 
Kama unaweza bet. Jina Rais wa sasa wa Tanzania basi. Unaliwa tena Unaliwa mcha kweupe.

Hana mchezo Wala Usije fanya mchezo na agizo lake Wala Usije cheka wakati hacheki.

Amesema amesema 5 years sasa Tz hakuna mgao na usiniulize nin kafanya
Miaka mitano sasa hakuna bei kupanda na usiniulize kafanya nini.

Miaka mitano na tuna madege yakutisha usiniulize kafanya nn.

Kizazi cha majizi anakifuta kabisa kama sio kukipoteza ktk system

Miradi yote kukamilika before 2025 nalazima imalizike kama. Una duwa lingine omba ila usi bet Rais wa sasa utaliwa tutusa

Kipindi hiki ukisema lolote baya unapotea/ kutenguliwa. Watu wamezimwa korosho zao lakini kimya kimetawala isipokuwa humu tu
 
Mh. Rais amenifanya nilipe kodi yangu kwa moyo mweupe ili kujenga nchi yangu. Naiona Kodi yangu inavyotumika kwa macho yangu. Si Kama hapo kale.
Kilichobaki Sasa mh. Rais Ni kiomarisha viwanda na kuvifufua vilivyo kufa.
Nikupongeze kwa kuimarisha miundombinu hasa ya barabara, kule Ludewa wanajionea kwa macho yao, Mbambabay inafukuliwa milima barabara zipite.
You really make things happen my presdent! Much appreciations!!!
Ila Mimi si muumini wa chama chochote but I happen to hate the so called green😬😬😬
 
Rais Magufuli ni Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Taifa.
 
Rudi darasan ukajifunze elimu ya uraia. BAVICHA mna matatizo sana
Mkuu Samwel sijasema kwa bahati mbaya kina Ngulinzira walioko Tanzania 100% wanatoka Kigoma hasa Kibondo nawajua nyie.
.
Vilevile Kigali na Burundi ndio hasa kwao sasa labda wewe ni raia wa aina gani hapa kwetu sisi wenye uraia wa kuzaliwa tunajijua 😂 kuna jamaa namfahamu anaitwa Samwely N Ngulinzira huenda ni wewe kwenye mitandao ya kijamii ni mtu wa kigoma
 
Uhamiaji nimewapa mwanga kwa kuanzia huyu achunguzwe 😂😂😂 ni mnyarwanda au mrundi
 
Huu ujinga kwamba nchi nzima hakuna mgao sijui hapo Lumumba hii hoja mmeitoa wapi?

Tofauti zama zile ilikuwa ni rahisi kusema kuna mgao bali zama hizi mambo ni kimya kimya. Kwani mgao maana yake ni nini?
Tuhabarishe wapi kuna mgao wa umeme, MGAO WA UMEME. Umeme unakatika kwa hitilafu hio ipo, ila mgao ni wapi tufahamishane.
 
Mgao ni nini kwani na ni nani anayetoa taarifa ya hitilafu mara umeme unapokatika?

Mara ngapi watu wa Dar umeme umekuwa unakatika kwao kila wiki mara moja ama zaidi ya mara moja?
 
Back
Top Bottom