Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

1. Avatar
2. Idadi ya post
3. Tarehe ulio jiunga
4. Muda ulio post
 

Attachments

  • IMG_20190903_234647_174.jpeg
    38.3 KB · Views: 22
  • IMG_20190903_234621_231.jpeg
    35.8 KB · Views: 31
Ndio maana akachaguliwa Rais wa sadic amewaburuza hadi kina ramphosa
 
Hahahha Kamsome Thomas Sankara,halafu urudi tena hapa kuandika.
 
Yatamkwa "Magufulification of Africa"

Hilo neno limetoholewa kutoka kwenye neno "magnification" yaani kwa kiswahili ni kukitengemeza kitu au kukiunda.

Alieleta hilo neno ni profesa Lumumba alipohutubia pale Nkrumah Hall miaka miwili ilopita.
 
counter ya "magufulification of Africa" yako itakuwa ni "alshabab-nization of Africa".

mnafikiri kila mtu ni mjinga!!
 
Kwenye mbio ukivutwa shati endeleakukimbia achali chanike lakini wewe endelea kukimbia tu
 
Mimi mbona machinga sioni aliponipiga tafu acheni ngonjera za kusifia sifia nyie UVCCM mnamjua mama ntilie nyie au mnalopoka ovyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…