einstein newton
JF-Expert Member
- Oct 18, 2015
- 1,969
- 2,674
Kumbe hii mipost ya kikike kike Huwa inawekwa usiku
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahha Kamsome Thomas Sankara,halafu urudi tena hapa kuandika.Dr John Pombe Magufuli, Rais wa Tanzania ni miongoni mwa watu wachache wenye akili zaidi walio wahi kuishi Duniani mara nyingi watu wenye misimamo mikali isiyotikisika na kuyumbishwa huwa ni nadra sana kupatikana katika jamii na hata waliopo huwa hawapewi nafasi za uongozi kulingana na misimamo yao mikali inayoogopeka na Watu wasio na maadili
counter ya "magufulification of Africa" yako itakuwa ni "alshabab-nization of Africa".Dr John Pombe Magufuli, Rais wa Tanzania ni miongoni mwa watu wachache wenye akili zaidi walio wahi kuishi Duniani mara nyingi watu wenye misimamo mikali isiyotikisika na kuyumbishwa huwa ni nadra sana kupatikana katika jamii na hata waliopo huwa hawapewi nafasi za uongozi kulingana na misimamo yao mikali inayoogopeka na Watu wasio na maadili
Mbio za kwenda wapi?Kwenye mbio ukivutwa shati endeleakukimbia achali chanike lakini wewe endelea kukimbia tu
Utaunga saana tuu mwaka huu ila uteuzi bado saana kwakoNaunga mkono hoja
P
Utaunga saana tuu mwaka huu ila uteuzi bado saana kwako
Rais JPM ana huruma sana na huruma yake imewagusa mamantilie nchi nzima, machinga nchi nzima, wakulima, bodaboda, na makundi mengine mengi wachache wanaolalamika ni vijana waliolelewa kwa kudekezwa wanaoamini kwenye miujiza ya kufanikiwa. Mheshimiwa atawasumbua sn maana wakiongeacho mitandaoni tofauti na uhalisia kwenye field
Naunga mkono hojaUtaunga saana tuu mwaka huu ila uteuzi bado saana kwako