Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

1. Avatar
2. Idadi ya post
3. Tarehe ulio jiunga
4. Muda ulio post
IMG_20190903_234936_695.jpeg
IMG_20190903_234621_231.jpeg
 
Attachments

  • IMG_20190903_234647_174.jpeg
    IMG_20190903_234647_174.jpeg
    38.3 KB · Views: 22
  • IMG_20190903_234621_231.jpeg
    IMG_20190903_234621_231.jpeg
    35.8 KB · Views: 31
Ndio maana akachaguliwa Rais wa sadic amewaburuza hadi kina ramphosa
 
Dr John Pombe Magufuli, Rais wa Tanzania ni miongoni mwa watu wachache wenye akili zaidi walio wahi kuishi Duniani mara nyingi watu wenye misimamo mikali isiyotikisika na kuyumbishwa huwa ni nadra sana kupatikana katika jamii na hata waliopo huwa hawapewi nafasi za uongozi kulingana na misimamo yao mikali inayoogopeka na Watu wasio na maadili
Hahahha Kamsome Thomas Sankara,halafu urudi tena hapa kuandika.
 
Yatamkwa "Magufulification of Africa"

Hilo neno limetoholewa kutoka kwenye neno "magnification" yaani kwa kiswahili ni kukitengemeza kitu au kukiunda.

Alieleta hilo neno ni profesa Lumumba alipohutubia pale Nkrumah Hall miaka miwili ilopita.
 
Dr John Pombe Magufuli, Rais wa Tanzania ni miongoni mwa watu wachache wenye akili zaidi walio wahi kuishi Duniani mara nyingi watu wenye misimamo mikali isiyotikisika na kuyumbishwa huwa ni nadra sana kupatikana katika jamii na hata waliopo huwa hawapewi nafasi za uongozi kulingana na misimamo yao mikali inayoogopeka na Watu wasio na maadili
counter ya "magufulification of Africa" yako itakuwa ni "alshabab-nization of Africa".

mnafikiri kila mtu ni mjinga!!
 
Kwenye mbio ukivutwa shati endeleakukimbia achali chanike lakini wewe endelea kukimbia tu
 
Mimi mbona machinga sioni aliponipiga tafu acheni ngonjera za kusifia sifia nyie UVCCM mnamjua mama ntilie nyie au mnalopoka ovyo.
Rais JPM ana huruma sana na huruma yake imewagusa mamantilie nchi nzima, machinga nchi nzima, wakulima, bodaboda, na makundi mengine mengi wachache wanaolalamika ni vijana waliolelewa kwa kudekezwa wanaoamini kwenye miujiza ya kufanikiwa. Mheshimiwa atawasumbua sn maana wakiongeacho mitandaoni tofauti na uhalisia kwenye field
 
Back
Top Bottom