Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

Anakwama sana ndiyo maana ATClL hataki CAG ajue mahesabu take maana mkiyajua mtalia.
 
Baada ya kulipa Deni,hata ya Canada
Sio Mkwamo ule
Barrick ?
Makinikia ?
By the way,alisema atahamia Dodoma before end of 2018, what is the status ?
Kakwamishwa na Nani ?
Lete Mwingine
Kuhamia Dodoma ni nje ya mada ndugu.
 
Mikwamo anaitengeneza mwenyewe. Wimbo anaimba yeye na kunengua yeye mwenyewe.
Muda utatupa jibu.
 

Asubuhi ya leo saa 11:00 JNIA ndege ya ATCL kwenda KIA ilikuwa na abiria watatu (na ikabidi ifutwe - sijui hao abiria watachomeshwa mahindi hadi saa ngapi kabla ya kufaulishwa). Nilikuwa kwenye Precision Air ATR 42 ambayo ilikuwa almost full.
ATCL imeshakwama tayari, imekwamishwa au ni incompetence?
 
Vipi kuwahusu Barrick?
Huko ndiyo kukwama kwenyewe. Mtu azure kitu chake kwaajili hujalipa deni ndiyo kukwama na aibu kubwa.
Tangu tipate uhuru hamna mali ya Tanzania iliyozuiliwa kwa kushindwa kulipa deni
 
Wakati mwingine mnasifia mambo ya kipuuzi mpaka mnaonekana majuha. Pitia humu jukwaani kuna uzi unaozungumzia sifa za madictator, kisha ulete mrejesho wa hiki unachokifanya hapa.
Ulishawahi kuishi Nchi za kidikteta!?

Mfano,ulishawahi kufika japo Sudan au Rwanda?
 
Mbona kila siku wanalia anakwamishwa?! Wanashindwa kusema kashindwa hata kutawala, maana kuongoza hajui.
 
Rais Magufuli ameu master sasa urais. Ni kwa kauli zake na hotuba zake anapopata kuhutubia umma wa Tanzania.

Mwanzoni mwa urais wake hotuba zake hazikumivutia sana. Kwasababu zilikuwa na mrengo wa kichama kuliko wa kitaifa.
Siku hizi amekomaa kweli kweli kama kiongozi wa kitaifa.
Siku hizi amekuwa kiongozi wa kitaifa kuliko wa chama.
Ameonyesha pia msimamo wake wa kuwa siku zikifika ataondoka na hizo ndege zitabaki kuhudumia umma yeye akiwa rai mwema.
Mizuka ya kichama inazidi kupungua kichwani mwake.
 

Amegundua chama hakimtoi, maana watu wengi hawavutiwi na hicho chama chake.
 
Umcharo utapatikana akitukumbuka Civil Servants hasa Walimu
 
NI KAWAIDA YA BINADAMU HATA UKIOWA MKE MARA YA KWANZA UTAJISKIA SANA KADRI MUDA UNAVYOSONGA UNAONA NI KAWAIDA NA AKILI INAKUKAA SAWA, UNAKUJA KUGUNDUA HAYA NI MAISHA TU NA SOTE BADO TU BINADAMU, RAISI KWA SASA YUKO VZR ZAIDI KULIKO ALIVYOINGIA, NAAMINI AMEKUTANA NA CHANGAMOTO NYINGI NA ZIMEMJENGA ZAIDI KIFRIKRA NAKIUTENDAJI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…