kyle rothschild
JF-Expert Member
- Aug 8, 2019
- 208
- 322
Tulizana jomba, hizo vitu ziko nje ya ligi yakoanza upya .
Uzi mchungu.. kashalala mbele.Anti Corruption hero? Which corruption are you talking about? 😳
Uuzwaji nyumba za Serikali: John Magufuli, Mussa Magufuli, Sundi Malomo kushtakiwa (Raia Mwema)
Huyu Ndiye Pombe Magufuli: - Wasema nyumba 8,000 kauza kwa mkono wake mwenyewe - Apuuza maonyo ya wataalamu- Mafaili ya Sundi na Musa aliyabeba kwapani ALIYEKUWA Waziri wa Ujenzi, John Magufuli, katika Serikali ya awamu ya tatu, aliteka madaraka na kuwa mwenyekiti wa zoezi la kuuza nyumba za...www.jamiiforums.com
Acha mzaha ndugu.Wasalamu ndugu zangu,
Kama kichwa cha habari hapo juu kinavyosomeka, mimi kwangu napenda kumleta kwenu His Ex. John Pombe Magufuli, Rais wetu wa jamhuri ya Muungano Tanzania kama nominee katika ushujaa wa upambanaji wa rushwa hapa afrika.
Tumpe sapoti mkuu wetu wa nchi azidi kuyatenda yale yaliyomema kwetu.
Kataa rushwa.. usitoe,usishawishi wala kupokea.
May be he is a hero coz he is not a "nepotist"Wasalamu ndugu zangu,
Kama kichwa cha habari hapo juu kinavyosomeka, mimi kwangu napenda kumleta kwenu His Ex. John Pombe Magufuli, Rais wetu wa jamhuri ya Muungano Tanzania kama nominee katika ushujaa wa upambanaji wa rushwa hapa afrika.
Tumpe sapoti mkuu wetu wa nchi azidi kuyatenda yale yaliyomema kwetu.
Kataa rushwa.. usitoe,usishawishi wala kupokea.
Mpuuzi mwingine wa LUMUMBA huyu hapa
Kuna sehemu umeandikwa??ndani ya chama utaratibu ukoje?
Afadhali ya mpuuzi unaweza kumkemea tu akaacha, huyu ni zaidi ya mpuuziMpuuzi mwingine wa LUMUMBA huyu hapa
Nadhani wewe ni Lumpen, tena proletaria, short of that usingeliweza kuandika nonsense kama hii! au ni mnafiki wa njaa kama akina bana!AHSANTE RAIS WETU
Serikali inajenga vihenge 12 kwa gharama ya shilingi Bilioni 23.4 kwa ajili ya kuhifadhi mahindi ya Wakala wa Taifa wa Hifadhi ya Chakula (NFRA) katika Manispaa ya Songea Mkoani Ruvuma. • Vihenge hivi vitaongeza uwezo wa kuhidhi mahindi kutoka tani 29,000 hadi 84,000.
IN MAGUFULI AND SHEIN WE TRUST
Vitalis Konga
vitalisikonga83@gmail.com
0717354277
Umesahau namba ya simu Mkuu