Bonde la Baraka
JF-Expert Member
- Sep 22, 2016
- 4,580
- 7,943
Zamani nilikuwa namwita kwa jina moja tu au nusu jina. Sasa nitamwita kwa majina yake kamili.Rais Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania
Yupo Kazini Saa Zote
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Zamani nilikuwa namwita kwa jina moja tu au nusu jina. Sasa nitamwita kwa majina yake kamili.Rais Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania
Yupo Kazini Saa Zote
Ndo demokrasia hakuna wa kukukamata kwa uamzi huu. Ila usiwapangie wengine cha kufanya.Zamani nilikuwa namwita kwa jina moja tu au nusu jina. Sasa nitamwita kwa majina yake kamili.
sawa Bashite tumekusikia. hii sasa itakuwa id yako ya 200 humu JF!Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni. Huyu mzee anajitahidi ingawa hali ya maisha ya wananchi haijabadilika bado.
Nilikuwa nampinga kila leo kwa miaka 3 au 4 mfululizo but now nimeona ngoja nimuunge mkono.
CCM siiungi mkono maana ndio iliyotuharibia nchi yetu kwa ufisadi na undugu.
Nilikuwa na sababu lukuki za kumpinga huyu mzee ila sasa nimepata sababu zenye nguvu za kumuunga mkono na mguu ikiwezekana.
Sasa nitaanza kumpigia kampeni kila kona na ikiwezekana atawale 15 yrs.
Najua nina nguvu ndogo ktk jamii ila ninauwezo wa kumwongezea kura mia moja 2020 kwa kampeni nitakayompigia kazini na mitaani.
Leo najisikia kumuheshimu sana hadi title yangu nimemwita kwa majina yake yote kamili. Kuna jambo kanifurahisha sana.
Simuhukumu asiyemuunga mkono ila ninamtaka achunguze na kuzipitia upya sababu zake zinazomfanya asimuunge mkono.
2014 nikiwa nafanya kazi BARICK sasa Acacia mgodini Bulyanhulu niliwahi kuwaambia wenzangu kuwa hii nchi tungempata Magufuli ingetulia. Ingawa alipoingia tu baada ya miezi michache 2016 aliposimamisha stahiki za watumishi kwaajili ya uhakiki ndipo nikaanza kumchukia. Sasa simchukii tena.
Njaa si kitu kizuri daima.Njaa mbaya
Kwa I'd hii ukisoma post zangu za nyuma huko utajua kuwa nilikuwa upande gani.sawa Bashite tumekusikia. hii sasa itakuwa id yako ya 200 humu JF!
Lissu au Membe mmojawapo akishika nchi 2020, wakolomije jiandaeni kuanza kupiga mbizi kuelekea hapo Comoro ukimbizini!
Njaa si kitu kizuri daima.
Wengine hawampendi mzee kwasababu ya njaa.
Ndiyo maana Barack Obama kwa mara ya kwanza alipotembelea Adrika akiwa Rais wa Marekani nchini Ghana alisema "Africa doesn't need strongmen, it needs strong institutions,”Wakuu nahisi ikitokea Raisi akaugua na akawa hawezi fanya ziara wala kuhutubia basi nahisi wafanyakazi hata kazini hawataenda.
Viongozi watakuwa wanalala hakuna kwenda kazini na hakuna kazi itakayo fanyoka. Kwa sasa hatuna mifumo bali anategemewa mtu mmoja mmoja.
Vipi huyo mtu asipo kuwepo kazi zitafanyika vipi? Nchi itaenda kweli? Kodi itakusanywa? Hayo Madarasa sijui Stend zitajengwa?
Sipati picha
Wakuu nahisi ikitokea Raisi akaugua na akawa hawezi fanya ziara wala kuhutubia basi nahisi wafanyakazi hata kazini hawataenda.
Viongozi watakuwa wanalala hakuna kwenda kazini na hakuna kazi itakayo fanyoka. Kwa sasa hatuna mifumo bali anategemewa mtu mmoja mmoja.
Vipi huyo mtu asipo kuwepo kazi zitafanyika vipi? Nchi itaenda kweli? Kodi itakusanywa? Hayo Madarasa sijui Stend zitajengwa?
Sipati picha
Huo mkono unaomuunga ukate hapo kabisa umpelekee
Huyu arudie tena kusoma kitabu cha walenga wapya, wenzie wanajikomba wanapata vyeo, shairi la walamba nyayo, " wajikomba komba kusifia ili wapate tende na aluwa" mwenzetu kipi hapatacho?Unalipwa kiasi gani wewe kwa siku na huyo magufuli wako? Maana muda wote unawaza kumsifia, kumsujudia, kumpamba na kumtukuza tu! Hivi huchoki?