Hahahaaa.......tupo hapa Changanyikeni na mh Mdee tumemsindikiza mgombea wetu!"WEWE UTAKUWA NDONDOCHA ,WAULIZE NDUGU ZAKO WAKUANGALE WATAKUAMBIA" quote from Member of JF last week.
kwa lipi?? ππHahahaa.......bwashee unateseka sana!
Utenaji bora wa awamu ya 5!.......hahahaaa!kwa lipi?? ππ
Je, watanzania ni wazito wa kufikiri? Ethiopia inazo ndege nyingi sana na inashindana na nchi za ulaya, Ethiopia inajenga bwawa kubwa sana la umeme na Ethiopia ina reli ya kipimo cha kati (SGR) na ni makao makuu ya AU, lakini wananchi wake kila siku wanakamatwa wakipita Tanzania kuelekea Afrika Kusini, wanaikimbia nchi yao. Watanzania wa leo tunaamini Rais anayefanya manunuzi kila siku basi ni kiongozi bora licha ya sisi kuwa mbali na vitu hivyo. Hapo ndipo tunapoona mkazi wa kijijini Mbaba Bay akishabikia SGR huku akilalamika hana maji, barabara na huduma za afya. Kama kuwa na hivyo vitu ni maendeleo kwa wananchi basi waethiopia hawana sababu ya kukimbia nchi yao. Uajabu wetu ni pale mtu anaposifia utajiri wa mwingine kama vile ni wake huku akilala njaa.Nikiufuatilia utendaji wa serikali ya awamu ya 5 naona yaliyoahidiwa na vyama vya upinzani mwaka 2015 ni kama yameshatekelezwa yote.
Ilani ya CCM kwa kuwa ilisheheni vitu vingi sana kutokana na uwezo mkubwa wa kifikra wa wale walioiandaa imetekelezwa kwa zaidi ya 90% na ifikapo September 2020 itakuwa imekamilika kwa 100%
Nauona upinzani ukifutika kabisa kwenye ramani ya Tanzania.
Maendeleo hayana vyama!
kuwapoteza watu??? ππ where dou you get those jokes!!!!ππUtenaji bora wa awamu ya 5!.......hahahaaa!
Mtu atakayetaka kugombea Urais ili kimchallenge Magufuli 2020 anajitakia aibu tu
Maana atapata kura za familia tu
Viva Magufuli
Mkuu unaweka mambo kinzani, kama maendeleo hayana vyama sioni sababu ya huo upinzani kufutika kwani kazi ya huyo mnae mwimbia pambio si 100% kwenye kukidhi yale watanzania wayatakayo. Kumbuka pia upinzani sio issue ya sera mbadala peke yake bali kuikosoa serikali pale inapokosea hasa kwenye yale mambo amabayo wa ndani hawawezi au hawataki kuyaona. Bahati mbaya au nzuri kutegemea unasimamia wapi, serikali hii inayo amini kuwa uCHAMADOLA ni filosofia ya kiungwana hawataki vyama vya upinzani au upinzani nje ya chama usikike wanapenda sana kusikia sauti zao tu na kuamini kuwa wao pekee ndio wana fikira sahihi.Nauona upinzani ukifutika kabisa kwenye ramani ya Tanzania.
Maendeleo hayana vyama!