Lakini ww hujatwambia umesoma mpaka darasa gani?Ccm kujifanya mnatoa elimu bure lakini mmeshindwa kumsomesha ABashite mnajua kuwa 2020 angekuwa anamaliza form 4 labda mtuambie alivyoteuliwa tu alishika ujauzito ndiyo mkashindwa kumpeleka form one
Ni kweli wapinzani wawepo kama "Watch Dog" lakini wasipinge kila kitu. Kabla ya Bunge la 2019 kufungwa au kuhairishwa mpaka mwaka 2020 na Spika alivyouliza nani wanaunga mkono nilishangaa upande wa upinzani wakasema hatuungi mkono. Sasa hapo ndo nkachoka.Tatizo anaogopa sana upinzani, hali upinzani ndio umeimpa umemfanya kuyatekeleza yote.Asiowane wapinzani ni maadui bali washauri wadau wa maendeleo. Kelele za wapinzani ndizo uifanya ccm isilale isibwwteke.Katenda mengi mazuri yanayombeba yale mabaya ndio yanayomharibia
Awapingi kila kituNi kweli wapinzani wawepo kama "Watch Dog" lakini wasipinge kila kitu. Kabla ya Bunge la 2019 kufungwa au kuhairishwa mpaka mwaka 2020 na Spika alivyouliza nani wanaunga mkono nilishangaa upande wa upinzani wakasema hatuungi mkono. Sasa hapo ndo nkachoka.
Tuma clips basi.Wananchi wanampenda sana Mheshimiwa Rais Leo wazee kwa vijana wamekuwa wakiulizana umemuona Rais? Watu wamepanda milimani kumuangalia Mheshimiwa Rais Mwanza ilikuwa imelipuka Leo wakati anatoka mamia elfu ya watu walijipanga njiani kumuona Rais wao wamemshangilia sijawahi kuona viongozi ili mpendwe na wananchi watendeeni haki chukieni dhulma umieni kwa ajili ya wananchi wenu Muigeni Rais wetu
Wananchi wanampenda sana Mheshimiwa Rais Leo wazee kwa vijana wamekuwa wakiulizana umemuona Rais? Watu wamepanda milimani kumuangalia Mheshimiwa Rais Mwanza ilikuwa imelipuka Leo wakati anatoka mamia elfu ya watu walijipanga njiani kumuona Rais wao wamemshangilia sijawahi kuona viongozi ili mpendwe na wananchi watendeeni haki chukieni dhulma umieni kwa ajili ya wananchi wenu Muigeni Rais wetu
Angewaogopa angewaita ikulu. Ila si unaona wenyewe wamemfata mwanza.kama anapedwa kweli hivyo mbona anaogopa sana upinzani [emoji29]
Kumsifia ndiyo shortcurt ya kupata easy money. Usishangae na Shilole nae akatoa wa kwake.Magu anasiku luluki za kusifiwa mtu mwenyewe kila siku ana mikutano ya hadhara ya kuimbiwa nyimbo yake ya harmonize anayoipenda na kumwagiwa misifa mingine.
Duh lakini mijamaa ushabiki wao unapitiliza mpaka siku ya sherehe ya uhuru wanataka pia iwe about Magu.
TOT badala ya kutunga wimbo wa kuwaenzi wapigania uhuru ni Magufuli tu, sijui nani Magufuli; mpaka mtu unajiuliza hii ilikuwa siku ya kusherekea uhuru wa nchi au kumsifia Magufuli.
Raisi na timu yake ya washauri wa ovyo wametuaribia National Day.
CHADEMA wee Wacha wivu. Mtasubiri sanaElimu yako haifiki hata kwenye sole ya kiatu changu
Wananchi wanampenda sana Mheshimiwa Rais Leo wazee kwa vijana wamekuwa wakiulizana umemuona Rais? Watu wamepanda milimani kumuangalia Mheshimiwa Rais Mwanza ilikuwa imelipuka Leo wakati anatoka mamia elfu ya watu walijipanga njiani kumuona Rais wao wamemshangilia sijawahi kuona viongozi ili mpendwe na wananchi watendeeni haki chukieni dhulma umieni kwa ajili ya wananchi wenu Muigeni Rais wetu
Hata Mbowe anampenda ndiyo maana ameenda kujipendekeza
Mtaani kwako ikitokea kichaa mrembo kavua nguo anapita na hapo hapo akatokea Mtumishi wa Mungu kichaa ana kitabu ana hubiri watu wengi watakwenda kwenye tukio lipii Sio kila kunako kuwepo na umati kwamba hicho kitu kipo sahihi Usi KaririSikuchukua Clip japo nilikuwa eneo LA tukio
Lowassa naye na kutetemeka kwake, hakubaki nyuma kwenye KUIMBA NYIMBO ZA MAPAMBIO za kumsifia Magu!Duh lakini mijamaa ushabiki wao unapitiliza mpaka siku ya sherehe ya uhuru wanataka pia iwe about Magu.
TOT badala ya kutunga wimbo wa kuwaenzi wapigania uhuru ni Magufuli tu, sijui nani Magufuli; mpaka mtu unajiuliza hii ilikuwa siku ya kusherekea uhuru wa nchi au kumsifia Magufuli.
kama anapedwa kweli hivyo mbona anaogopa sana upinzani 😓