Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

Ccm kujifanya mnatoa elimu bure lakini mmeshindwa kumsomesha ABashite mnajua kuwa 2020 angekuwa anamaliza form 4 labda mtuambie alivyoteuliwa tu alishika ujauzito ndiyo mkashindwa kumpeleka form one
Lakini ww hujatwambia umesoma mpaka darasa gani?
 
Tatizo anaogopa sana upinzani, hali upinzani ndio umeimpa umemfanya kuyatekeleza yote.Asiowane wapinzani ni maadui bali washauri wadau wa maendeleo. Kelele za wapinzani ndizo uifanya ccm isilale isibwwteke.Katenda mengi mazuri yanayombeba yale mabaya ndio yanayomharibia
Ni kweli wapinzani wawepo kama "Watch Dog" lakini wasipinge kila kitu. Kabla ya Bunge la 2019 kufungwa au kuhairishwa mpaka mwaka 2020 na Spika alivyouliza nani wanaunga mkono nilishangaa upande wa upinzani wakasema hatuungi mkono. Sasa hapo ndo nkachoka.
 
Awapingi kila kitu
 
Tukutane hapa kusifia na kujimwambafai kwa lolote kuhusu uongozi uliotukuka sana awamu hii ya tano.
 
Sijawahi kuona waziri Mkuu wa Uk [emoji636] akijisifia ujenzi wa madaraja, kuna madaraja zaidi ya 10 yamejingwa kuanzia 2015 , sijaona hata kiongozi mmoja akifanya uzinfuzi, na bado wananchi hawajaona kwamba chama tawala kuwa kimewapa maendeleo makubwa, ihali wananchi bado wanalia kuwa maisha magumu.

House bills
Homeless kwa sababu hawana nyumba za kuishi za kutosha
Jobs hakuna na zilizopo minimum wage ni ndogo.
Elimu ya juu mikopo ni mzigo mkubwa kwa wananchi.
Income support haitoshelezi.

Bado chama tawala conservative kina laumiwa kwa kufanya maisha magumu kwa wananchi, na wala sio ni sifa zozote
 
Magu anasiku luluki za kusifiwa mtu mwenyewe kila siku ana mikutano ya hadhara ya kuimbiwa nyimbo yake ya harmonize anayoipenda na kumwagiwa misifa mingine.

Duh lakini mijamaa ushabiki wao unapitiliza mpaka siku ya sherehe ya uhuru wanataka pia iwe about Magu.

TOT badala ya kutunga wimbo wa kuwaenzi wapigania uhuru ni Magufuli tu, sijui nani Magufuli; mpaka mtu unajiuliza hii ilikuwa siku ya kusherekea uhuru wa nchi au kumsifia Magufuli.

Rais na timu yake ya washauri wa ovyo wametuaribia National Day.
 
Wananchi wanampenda sana Mheshimiwa Rais Leo wazee kwa vijana wamekuwa wakiulizana umemuona Rais? Watu wamepanda milimani kumuangalia Mheshimiwa Rais Mwanza ilikuwa imelipuka Leo wakati anatoka mamia elfu ya watu walijipanga njiani kumuona Rais wao wamemshangilia sijawahi kuona viongozi ili mpendwe na wananchi watendeeni haki chukieni dhulma umieni kwa ajili ya wananchi wenu Muigeni Rais wetu
Tuma clips basi.
 
kama anapedwa kweli hivyo mbona anaogopa sana upinzani 😓
 
Magu anasiku luluki za kusifiwa mtu mwenyewe kila siku ana mikutano ya hadhara ya kuimbiwa nyimbo yake ya harmonize anayoipenda na kumwagiwa misifa mingine.

Duh lakini mijamaa ushabiki wao unapitiliza mpaka siku ya sherehe ya uhuru wanataka pia iwe about Magu.

TOT badala ya kutunga wimbo wa kuwaenzi wapigania uhuru ni Magufuli tu, sijui nani Magufuli; mpaka mtu unajiuliza hii ilikuwa siku ya kusherekea uhuru wa nchi au kumsifia Magufuli.

Raisi na timu yake ya washauri wa ovyo wametuaribia National Day.
Kumsifia ndiyo shortcurt ya kupata easy money. Usishangae na Shilole nae akatoa wa kwake.
 
Wananchi wanampenda sana Mheshimiwa Rais Leo wazee kwa vijana wamekuwa wakiulizana umemuona Rais? Watu wamepanda milimani kumuangalia Mheshimiwa Rais Mwanza ilikuwa imelipuka Leo wakati anatoka mamia elfu ya watu walijipanga njiani kumuona Rais wao wamemshangilia sijawahi kuona viongozi ili mpendwe na wananchi watendeeni haki chukieni dhulma umieni kwa ajili ya wananchi wenu Muigeni Rais wetu

usiwasemee, sema wewe una.......
 
Duh lakini mijamaa ushabiki wao unapitiliza mpaka siku ya sherehe ya uhuru wanataka pia iwe about Magu.

TOT badala ya kutunga wimbo wa kuwaenzi wapigania uhuru ni Magufuli tu, sijui nani Magufuli; mpaka mtu unajiuliza hii ilikuwa siku ya kusherekea uhuru wa nchi au kumsifia Magufuli.
Lowassa naye na kutetemeka kwake, hakubaki nyuma kwenye KUIMBA NYIMBO ZA MAPAMBIO za kumsifia Magu!
Naona ilikuwa sherehe maalum ya KUIMBA SIFA!
 
kama anapedwa kweli hivyo mbona anaogopa sana upinzani 😓

Anawaogopa au wao ndo wanamuogopa mpaka wanataka maridhiano? Wakifanya jeuri wanalla rupango, sasa anawaogopa vipi? Angekuwa anawaogopa wangekuwa wanafanya vurugu kila suku mitaani kisha wanarudi makwao kulala, huo ndo uoga.
 
Wengi wao wajinga na wanajikomba komba. Ni watu wasiojiamini
 
Hata firauni nae alikuwa na wafuasi wake.
Hitler nae alikuwa na wafuasi wake.
Na walikuwa wanapendwa
 
Back
Top Bottom