hawataki zisikike ndio maana tunawaletea !Kuna watu wanataka kufa kwa habari kama hizi.[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
macson
Kuwa mpinzani siyo kupinga kila kitu kwenye ukweli tusimamie ukweli kwenye kukosoa tukosoe kwa ustaha[emoji706]
Hon. President Magufuli is the best president tofauti na watu wengine wanavyotaka tuamini.
Nilianza kumkubali tangu 2015 kupitia sera yake ya Tanzania ya viwanda.
Kikubwa zaidi ni uthubutu wa kufanya maamuzi bila kuteteleka tangu akiwa Waziri wa Uvuvi na baadae Ujenzi.
Being honest, up to now naendelea kuunga mkono jitihada zake za kuwaletea Watanzania maendeleo kwa mambo makubwa anayofanya kama vile:
1. Kuimarisha miundombinu ya usafiri wa majini E.g ujenzi wa meli mpya za kisasa. Mv Victoria na Butiama ni vielelezo.
2. Kuimarisha miundombinu ya barabara na madaraja.
3. Kufufua shirika la reli.
4. Kufufua na kuimarisha usafiri wa anga kwa ununuzi wa ndege.
5. Ujenzi wa bwawa la kisasa la kufua umeme (Stiegler's Gorge).
6. Ujenzi wa reli mpya ya kisasa (SGR).
7. Kurejesha nidhamu kwa watumishi. ilifikia pahala wakajisahau na kujiona miungu watu kwa kunyanyasa watu wa chini.
8. Kusikiliza na kutatua kero za watu wa chini.
9. Kutoa elimu bure.
10. Kuwajibisha viongozi wazembe wanaokwamisha maendeleo bila kujali nyadhifa zao.
11. Kupiga vita ufisadi na wala rushwa.
Pamoja na mambo mazuri yote hayo Mh. President tunaomba ufanyie maboresho mambo haya
1. Wakumbuke vijana wako wanateseka mtaani. Kilio chao kikuu ni ajira.
2. Mh. President kubali kupokea ushauri kutoka kwa wasaidizi wako.
3. Mh. President wape watu uhuru wa kuzungumza hata kama wakikutukana jifanye huwasikii endelea na kasi yako ya kuwaletea Watanzania maendeleo.
4. Mh. President Rudisha umoja na mshikamano wa kitaifa. To be honest Mh. President umoja wa kitaifa umepungua kama sio kupotea kabisa.
Watanzania wamejigawa kwa misingi ya itikadi za kisiasa, wamekumbatia vyama kuliko umoja na mshikamano wala hawaoni haya kuchukiana wazi wazi kwa sababu mtu fulani yuko chama A mwingine B.
Mh.President wewe ndiye kiunganishi kikuu cha Watanzania. Tia neno Taifa Lipone.
5. Kemea matukio yanayosadikiwa kuwa ya utekaji yanachafua Taifa letu katika medani za kimataifa na kufukuzisha wawekezaji.
6. Wakumbuke wafanya kazi kwa kuwaboreshea maslahi yao, kuwapandishia mishahara, madaraja bila kusahau kuwafungulia uhamisho.
7. Weka mazingira ya usawa ya ushindani wa kisiasa. Mh.President wapinzani wamekuwa wakilalamika mara kwa mara kwamba wanahujumiwa kufanya siasa.
Waruhusu wafanye hizo siasa tunajua wataropoka hovyo na kutukana wala usijari Let them do wewe endelea kuwaletea Watanzania maendeleo nasi tutawapuuza na kuwadharau.
8. Mh. President ruhusu mzunguko wa pesa mtaani hali siyo nzuri.
Ndugu Watanzania tuweke itikadi za vyama vyetu pembeni ili kumsaidia Mh. Rais kutekeleza majukumu yake ya kutuletea maendeleo. Maendeleo hayana vyama.
Mungu ibariki Africa
Mungu ibariki Tanzania na Watanzania
Mungu mbariki Rais wetu
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio maana tunasema ni 🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮Pia hana subra /uwezo wa kukaa na Jambo moyoni (Siri)& anapenda SIFA mbele ya watu
Mfano; anavyowatukana watendaji wa chini
Mfano; siku anahutubia ikulu , saa 7 Lissu akapigwa risasi Dom
Mfano; kulikuwa Kuna haja gani ya kuwaambia watz '..Mimi najua kuna sehemu ipo tanzanite Ila SISEMI NI WAPI..".. Hii ni sifa tuu!
Huyu mshkaji ni janga la Taifa, nadhani hata Nyerere huko kaburini anahasira nae kinyamaa[emoji22][emoji22][emoji22]
Sent using Jamii Forums mobile app
Well said ni kweli kuna vitu vina kera sana na kupandisha hasira lakini yeye kama kiongozi anapaswa kuwa mkomavu wa subira, uvumilivu na jasiri wa kuzuia hisia zake pale anapokosewa asitukane watendaji wake hadharani anawashushia hadhi na kuwakatisha tamaaPia hana subra /uwezo wa kukaa na Jambo moyoni (Siri)& anapenda SIFA mbele ya watu
Mfano; anavyowatukana watendaji wa chini
Mfano; siku anahutubia ikulu , saa 7 Lissu akapigwa risasi Dom
Mfano; kulikuwa Kuna haja gani ya kuwaambia watz '..Mimi najua kuna sehemu ipo tanzanite Ila SISEMI NI WAPI..".. Hii ni sifa tuu!
Huyu mshkaji ni janga la Taifa, nadhani hata Nyerere huko kaburini anahasira nae kinyamaa[emoji22][emoji22][emoji22]
Sent using Jamii Forums mobile app
Naunga mkono hoja, huu ndio uzalendo wa kweli na hili ni bandiko la kizalendo.Hon. President Magufuli is the best president
Pamoja na mambo mazuri yote hayo Mh. President tunaomba ufanyie maboresho mambo haya
1. Wakumbuke vijana wako wanateseka mtaani. Kilio chao kikuu ni ajira.
2. Mh. President kubali kupokea ushauri kutoka kwa wasaidizi wako.
3. Mh. President wape watu uhuru wa kuzungumza hata kama wakikutukana jifanye huwasikii endelea na kasi yako ya kuwaletea Watanzania maendeleo.
4. Mh. President Rudisha umoja na mshikamano wa kitaifa. To be honest Mh. President umoja wa kitaifa umepungua kama sio kupotea kabisa.
Watanzania wamejigawa kwa misingi ya itikadi za kisiasa, wamekumbatia vyama kuliko umoja na mshikamano wala hawaoni haya kuchukiana wazi wazi kwa sababu mtu fulani yuko chama A mwingine B.
Mh.President wewe ndiye kiunganishi kikuu cha Watanzania. Tia neno Taifa Lipone.
5. Kemea matukio yanayosadikiwa kuwa ya utekaji yanachafua Taifa letu katika medani za kimataifa na kufukuzisha wawekezaji.
6. Wakumbuke wafanya kazi kwa kuwaboreshea maslahi yao, kuwapandishia mishahara, madaraja bila kusahau kuwafungulia uhamisho.
7. Weka mazingira ya usawa ya ushindani wa kisiasa. Mh.President wapinzani wamekuwa wakilalamika mara kwa mara kwamba wanahujumiwa kufanya siasa.
Waruhusu wafanye hizo siasa tunajua wataropoka hovyo na kutukana wala usijari Let them do wewe endelea kuwaletea Watanzania maendeleo nasi tutawapuuza na kuwadharau.
8. Mh. President ruhusu mzunguko wa pesa mtaani hali siyo nzuri.
Ndugu Watanzania tuweke itikadi za vyama vyetu pembeni ili kumsaidia Mh. Rais kutekeleza majukumu yake ya kutuletea maendeleo. Maendeleo hayana vyama.
Mungu ibariki Tanzania na Watanzania
Mungu mbariki Rais wetu
Siyo kweli kwamba yote anayofanya ni mabaya yapo mengi mazuri yakujivunia tumpe credit pale anapostahili tuache unafiki wa kuangalia upande mmoja wa shillingMambo yanayoendelea ni [emoji706]
Usalama wetu[emoji706]
Chuki za wanasiasa na wanaharakati[emoji706]
Uchumi kupanda[emoji706]
Ajira kwa vijana[emoji706]
Ubabe ubabe[emoji706]
Hata mwenyekiti wa chadema naye [emoji706]
Msako wa watu wasiojulikana[emoji706]
Mengine mtaongeza maana kwangu ni [emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706]
KamaSiyo kweli kwamba yote anayofanya ni mabaya yapo mengi mazuri yakujivunia tumpe credit pale anapostahili tuache unafiki wa kuangalia upande mmoja wa shilling
Sent using Jamii Forums mobile app