Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

Kuna watu wanataka kufa kwa habari kama hizi.[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]

macson
 
Mabilioni pia yamepatikana kwa kuwapa "RAIA/WANYONGE" case za "UHUJUMU UCHUMI" bila hatia. Na yataongezeka zaidi kwa kina "TITO MAGOTI na KABENDERA".
 
Hon. President Magufuli is the best president tofauti na watu wengine wanavyotaka tuamini.

Nilianza kumkubali tangu 2015 kupitia sera yake ya Tanzania ya viwanda.

Kikubwa zaidi ni uthubutu wa kufanya maamuzi bila kuteteleka tangu akiwa Waziri wa Uvuvi na baadae Ujenzi.

Being honest, up to now naendelea kuunga mkono jitihada zake za kuwaletea Watanzania maendeleo kwa mambo makubwa anayofanya kama vile:

1. Kuimarisha miundombinu ya usafiri wa majini E.g ujenzi wa meli mpya za kisasa. Mv Victoria na Butiama ni vielelezo.

2. Kuimarisha miundombinu ya barabara na madaraja.

3. Kufufua shirika la reli.

4. Kufufua na kuimarisha usafiri wa anga kwa ununuzi wa ndege.

5. Ujenzi wa bwawa la kisasa la kufua umeme (Stiegler's Gorge).

6. Ujenzi wa reli mpya ya kisasa (SGR).

7. Kurejesha nidhamu kwa watumishi. ilifikia pahala wakajisahau na kujiona miungu watu kwa kunyanyasa watu wa chini.

8. Kusikiliza na kutatua kero za watu wa chini.

9. Kutoa elimu bure.

10. Kuwajibisha viongozi wazembe wanaokwamisha maendeleo bila kujali nyadhifa zao.

11. Kupiga vita ufisadi na wala rushwa.

Pamoja na mambo mazuri yote hayo Mh. President tunaomba ufanyie maboresho mambo haya

1. Wakumbuke vijana wako wanateseka mtaani. Kilio chao kikuu ni ajira.

2. Mh. President kubali kupokea ushauri kutoka kwa wasaidizi wako.

3. Mh. President wape watu uhuru wa kuzungumza hata kama wakikutukana jifanye huwasikii endelea na kasi yako ya kuwaletea Watanzania maendeleo.

4. Mh. President Rudisha umoja na mshikamano wa kitaifa. To be honest Mh. President umoja wa kitaifa umepungua kama sio kupotea kabisa.

Watanzania wamejigawa kwa misingi ya itikadi za kisiasa, wamekumbatia vyama kuliko umoja na mshikamano wala hawaoni haya kuchukiana wazi wazi kwa sababu mtu fulani yuko chama A mwingine B.

Mh.President wewe ndiye kiunganishi kikuu cha Watanzania. Tia neno Taifa Lipone.

5. Kemea matukio yanayosadikiwa kuwa ya utekaji yanachafua Taifa letu katika medani za kimataifa na kufukuzisha wawekezaji.

6. Wakumbuke wafanya kazi kwa kuwaboreshea maslahi yao, kuwapandishia mishahara, madaraja bila kusahau kuwafungulia uhamisho.

7. Weka mazingira ya usawa ya ushindani wa kisiasa. Mh.President wapinzani wamekuwa wakilalamika mara kwa mara kwamba wanahujumiwa kufanya siasa.

Waruhusu wafanye hizo siasa tunajua wataropoka hovyo na kutukana wala usijari Let them do wewe endelea kuwaletea Watanzania maendeleo nasi tutawapuuza na kuwadharau.

8. Mh. President ruhusu mzunguko wa pesa mtaani hali siyo nzuri.

Ndugu Watanzania tuweke itikadi za vyama vyetu pembeni ili kumsaidia Mh. Rais kutekeleza majukumu yake ya kutuletea maendeleo. Maendeleo hayana vyama.

Mungu ibariki Africa

Mungu ibariki Tanzania na Watanzania

Mungu mbariki Rais wetu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pia hana subra /uwezo wa kukaa na Jambo moyoni (Siri)& anapenda SIFA mbele ya watu

Mfano; anavyowatukana watendaji wa chini

Mfano; siku anahutubia ikulu , saa 7 Lissu akapigwa risasi Dom

Mfano; kulikuwa Kuna haja gani ya kuwaambia watz '..Mimi najua kuna sehemu ipo tanzanite Ila SISEMI NI WAPI..".. Hii ni sifa tuu!

Huyu mshkaji ni janga la Taifa, nadhani hata Nyerere huko kaburini anahasira nae kinyamaa[emoji22][emoji22][emoji22]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umesahau kuteka nakupiga watu pyu pyu

Mambo yanayoendelea ni 🚮
Usalama wetu🚮
Chuki za wanasiasa na wanaharakati🚮
Uchumi kupanda🚮
Ajira kwa vijana🚮
Ubabe ubabe🚮
Hata mwenyekiti wa chadema naye 🚮
Msako wa watu wasiojulikana🚮
Mengine mtaongeza maana kwangu ni 🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮
 
Pia hana subra /uwezo wa kukaa na Jambo moyoni (Siri)& anapenda SIFA mbele ya watu

Mfano; anavyowatukana watendaji wa chini

Mfano; siku anahutubia ikulu , saa 7 Lissu akapigwa risasi Dom

Mfano; kulikuwa Kuna haja gani ya kuwaambia watz '..Mimi najua kuna sehemu ipo tanzanite Ila SISEMI NI WAPI..".. Hii ni sifa tuu!

Huyu mshkaji ni janga la Taifa, nadhani hata Nyerere huko kaburini anahasira nae kinyamaa[emoji22][emoji22][emoji22]

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio maana tunasema ni 🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮
 
Well said ni kweli kuna vitu vina kera sana na kupandisha hasira lakini yeye kama kiongozi anapaswa kuwa mkomavu wa subira, uvumilivu na jasiri wa kuzuia hisia zake pale anapokosewa asitukane watendaji wake hadharani anawashushia hadhi na kuwakatisha tamaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hon. President Magufuli is the best president

Pamoja na mambo mazuri yote hayo Mh. President tunaomba ufanyie maboresho mambo haya

1. Wakumbuke vijana wako wanateseka mtaani. Kilio chao kikuu ni ajira.

2. Mh. President kubali kupokea ushauri kutoka kwa wasaidizi wako.

3. Mh. President wape watu uhuru wa kuzungumza hata kama wakikutukana jifanye huwasikii endelea na kasi yako ya kuwaletea Watanzania maendeleo.

4. Mh. President Rudisha umoja na mshikamano wa kitaifa. To be honest Mh. President umoja wa kitaifa umepungua kama sio kupotea kabisa.

Watanzania wamejigawa kwa misingi ya itikadi za kisiasa, wamekumbatia vyama kuliko umoja na mshikamano wala hawaoni haya kuchukiana wazi wazi kwa sababu mtu fulani yuko chama A mwingine B.

Mh.President wewe ndiye kiunganishi kikuu cha Watanzania. Tia neno Taifa Lipone.

5. Kemea matukio yanayosadikiwa kuwa ya utekaji yanachafua Taifa letu katika medani za kimataifa na kufukuzisha wawekezaji.

6. Wakumbuke wafanya kazi kwa kuwaboreshea maslahi yao, kuwapandishia mishahara, madaraja bila kusahau kuwafungulia uhamisho.

7. Weka mazingira ya usawa ya ushindani wa kisiasa. Mh.President wapinzani wamekuwa wakilalamika mara kwa mara kwamba wanahujumiwa kufanya siasa.

Waruhusu wafanye hizo siasa tunajua wataropoka hovyo na kutukana wala usijari Let them do wewe endelea kuwaletea Watanzania maendeleo nasi tutawapuuza na kuwadharau.

8. Mh. President ruhusu mzunguko wa pesa mtaani hali siyo nzuri.

Ndugu Watanzania tuweke itikadi za vyama vyetu pembeni ili kumsaidia Mh. Rais kutekeleza majukumu yake ya kutuletea maendeleo. Maendeleo hayana vyama.
Mungu ibariki Tanzania na Watanzania
Mungu mbariki Rais wetu
Naunga mkono hoja, huu ndio uzalendo wa kweli na hili ni bandiko la kizalendo.
Asante.
P
 
Mambo yanayoendelea ni [emoji706]
Usalama wetu[emoji706]
Chuki za wanasiasa na wanaharakati[emoji706]
Uchumi kupanda[emoji706]
Ajira kwa vijana[emoji706]
Ubabe ubabe[emoji706]
Hata mwenyekiti wa chadema naye [emoji706]
Msako wa watu wasiojulikana[emoji706]
Mengine mtaongeza maana kwangu ni [emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706]
Siyo kweli kwamba yote anayofanya ni mabaya yapo mengi mazuri yakujivunia tumpe credit pale anapostahili tuache unafiki wa kuangalia upande mmoja wa shilling

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siyo kweli kwamba yote anayofanya ni mabaya yapo mengi mazuri yakujivunia tumpe credit pale anapostahili tuache unafiki wa kuangalia upande mmoja wa shilling

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama
Kutukana viongozi wa wake kama watoto wake wakati na yeye alikuwa huko
Maisha magumu mtaani hata kama unajituma aje bado hupati Cha kuendesha maisha
Ajira mpya hakuna na zilizoko ni chache na hazina maslai makubwa olso olso olso...........malizia mengine
 
Na Mange Kimambi:
Siasa za CCM Mpya ya Magufuli si mchezo !

Leo Comrade Mwigulu Lameck Nchemba amenywea na kupotea kabisa!

Kiburi ,kujikweza na kuvaa maskafu ya Bendera ya Taifa hadi chooni kwisha kabisa!

Timu yake ya Singida United inatupiwa virago nje na NHC na kupigwa mnada kwa kushindwa kulipa Tshs.3 Milioni !

Mwenye Timu ( Mwigulu Lameck Nchemba ) anapigiwa simu hapokei na anajificha!

"Vijana" wake waliokuwa na majivuno kama Festo Sanga wanakuwa wadogo kama kidonge cha Pilitoni!

Comrade January Makamba anapotea kwenye ulingo wa siasa za CCM na ndoto zake za Urais zimeyeyuka kama barafu juani anabaki kuiga mitoko,pozi na mavazi ya Barack Obama na kupiga tu picha kwenye locations alizopita Obama naye aonekane visionary!

Ubunge wa Bumbuli tena hautamani kwani mbele anaona giza tu!

Comrade Nape Nnauye kiburi kile cha kupita juu ya viuno vya akina Mama kule jimboni Mtama kwisha kabisa!

Anapigishwa kwata kuingia Ikulu kutokea getini huku akifuta jasho na kugeuka geuka nyuma mithili ya Kibaka anayefukuzwa baada ya kukwapua sidiria au chupi pale Manzese Darajani!

Ma- Guru wa siasa za CCM Mzee Abdulrahaman Kinana, Mzee Yusuph Makamba na Kachero Mbobezi Bernard Kamillius Membe wakiitwa kwa dharau kuhojiwa na akina Humphrey Polepole!

Hayo yote yakiwatokea Ma- comrades wangu hawa ! ;

Comrade Paul Makonda mambo yake yako mstari kiasi kwamba ni Mkuu wa Mkoa tu wa DSM lakini anaogopeka na ana nguvu kuliko hata Waziri Mkuu wa JMT.

Mwanaharakati Cyprian Nyamagambire Musiba ana nguvu kiasi ambacho vyombo vya dola havina budi kufanyia kazi maelekezo yake! akikusonta Musiba kuwa unampinga Rais Magufuli jua umekwisha!

Omba Mungu watu wasiojulikana wakikufuata mipango yao itibuke ama sivyo historia yako itakuwa kama ya Ben Saanane au Azory Gwanda! You will be silenced forever !

Mwita Mwikwabe Waitara aliyekuwa akibeza CCM majukwaani 2015 leo ana nguvu ndani ya Serikali ya CCM na anapowajibu Wapinzani Bungeni na kumtetea Rais Magufuli anafanya hivyo kwa nyodo huku akicheua kichuri kilichochanganyika na pombe ambayo harufu yake inaweza kukatwa tu na dawa zinazodungwa kuhifadhia maiti mochwari!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unaongelea yule jamaa anaetaka wananchi wamuombe na urais ni kazi ngumu😂😂.

Ndukiiiii 🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
 
Back
Top Bottom