Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

Binafsi nimefurahishwa na kasi ya Rais Dkt. Magufuli. Naamini wapo pia wengi wanaoungana nami katika furaha hii. Rais Magufuli ameanza kwa kasi ambayo kama ataimaintain, Tanzania haimalizi miaka mitano itakuwa tayari ni nchi yenye kipato cha kati.

Hata hivyo wapo baadhi yetu ambao wanakejeli kasi hiyo. Hao kwangu ni watu waliozoea ubwete na bora liende!. Wanamwona Magufuli kuwa ni mtu atakayekuwa kauzibe kwao!

Wapigaji wote, wavivu wote na wazee wa madili wote watamchukia Rais Magufuli ila mi niseme na niwaombe tu kwamba tumpe support huyu jamaa kiukweli atatufikisha mahali fulani!

Tuwafichue wote wanaopanga kumhujumu (najua wanajulikana), tuwakatae kwani hawana nia njema na taifa letu.

Habari zaidi, soma =>Toka kwa Wananchi: Kero na Vitendo vya kifisadi vinavyoendelea nchini vinavyotakiwa kufuatiliwa...
Miaka 5 imeshafika tupe mrejesho
 
[emoji848][emoji848]
InShot_20200301_221327207.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Japokua kuna watu hawakukubali, lakini mimi nasema mzee we chapa kaziii! Waache waongeee'. We chapa kazi ukimaliza unaenda zako kuota jua juu ya mawe unawacheki tu.

Watakuelewa tuu, wapo ambao akili zao zinachukua mda kukubali kitu, time will tell.

Sasa wanakupandikizia chuki kwa wananchi, wanadai eti kwasababu ya corona utaahirisha uchaguzi, lakini umewaumbua.

You're all welcome to the meeting with me and My Director of Federal Bureau Of Investigation (FBI)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umejianzishia uzi muheshimiwa
Nashukuru kusoma nyuzi yako muheshimiwa [emoji16][emoji16][emoji16]

K,K
 
Nguvu za soda zimekata. Alijua tunapesa nyungi sana akaanzisha miradi ambayo imemshika. Kabana wafanyabiashara akisahau kuwa ukitaka kula lazima uliwe kidogo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Secretary, you're letting me down big time! secretary POMPEO,

"My pain may be the reason for somebody's laugh,but my laugh must never be the reason for somebody's pain"

Charlie Chaplin
 
Back
Top Bottom