Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Miaka 5 imeshafika tupe mrejeshoBinafsi nimefurahishwa na kasi ya Rais Dkt. Magufuli. Naamini wapo pia wengi wanaoungana nami katika furaha hii. Rais Magufuli ameanza kwa kasi ambayo kama ataimaintain, Tanzania haimalizi miaka mitano itakuwa tayari ni nchi yenye kipato cha kati.
Hata hivyo wapo baadhi yetu ambao wanakejeli kasi hiyo. Hao kwangu ni watu waliozoea ubwete na bora liende!. Wanamwona Magufuli kuwa ni mtu atakayekuwa kauzibe kwao!
Wapigaji wote, wavivu wote na wazee wa madili wote watamchukia Rais Magufuli ila mi niseme na niwaombe tu kwamba tumpe support huyu jamaa kiukweli atatufikisha mahali fulani!
Tuwafichue wote wanaopanga kumhujumu (najua wanajulikana), tuwakatae kwani hawana nia njema na taifa letu.
Habari zaidi, soma =>Toka kwa Wananchi: Kero na Vitendo vya kifisadi vinavyoendelea nchini vinavyotakiwa kufuatiliwa...
DuhHiyo ahadi aliahidi kwenye jimbo gani mkuu wakati wa kampeni??
ThanksUmejianzishia uzi muheshimiwa
Nashukuru kusoma nyuzi yako muheshimiwa [emoji16][emoji16][emoji16]
K,K
Tanzania asilimia kubwa ni wanyongeIyo wanyonge ungeitoa. Ni ujinga na upumbavu kukubali kuitwa mnyonge. Ni sawa na utumwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
WhySecretary, you're letting me down big time!
"My pain may be the reason for somebody's laugh,but my laugh must never be the reason for somebody's pain"
Charlie Chaplin
Nguvu za soda zimekata. Alijua tunapesa nyungi sana akaanzisha miradi ambayo imemshika. Kabana wafanyabiashara akisahau kuwa ukitaka kula lazima uliwe kidogo.
Sent using Jamii Forums mobile app
mruhusu aje huko halafu mnakaribisha sehemu yenye corona virus