Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

Kama ni kuhusu safari nakuhakikishia bado wana safiriri kama zamani. Ila sasa lazima wajaze makaratasi kwenda kwa Treasury Registrar au Chief Secrtary. Ambaye hasafiri ni Magufuli mwenyewe naye hasafiri si kwa vile anaipenda sana Tanzania, NO ni kwamba ana betri kifuani au Pacemaker ambayo kupanda ndege kwa masaa zaidi ya 6 ni health risk.
 
Ule msaada na habari ya wanafunzi wazazi tu ulitaka kumtoa mtu roho, kwa kifupi tu tanzania kwa sasa haiwezekani bila mikopo na misaada kutoka kwa mabeberu. PERIOD.
 
Kuna tofauti kati ya kusafiri na kupishana angani daily bwashee.

Watu walikuwa wanaenda kunyoa ndevu kwa Madiba SA kila baada ya siku 2!
 
Ule msaada na habari ya wanafunzi wazazi tu ulitaka kumtoa mtu roho, kwa kifupi tu tanzania kwa sasa haiwezekani bila mikopo na misaada kutoka kwa mabeberu. PERIOD.
Bwashee funguka usije kwa nyatanyata......ili ueleweke!
 
Msaada kwenye tuta, Mimi ni Muislamu, hivi nyinyi wenzetu "NABII" mnachukulia ni mtu wa aina gani haswa?
 
Amen
 
That's too low Jo! Mahaba yakipitiliza unakuwa upumbavu

Jr[emoji769]
 
Pesa alizozishadadia kabwe zitto zisitolewe mbona mlibweka sana mpaka mnataka kum dedisha jamaa vipi zile nazo.
 
Zitto na Mbowe wasikupotezee muda wako bwashee.

Wenzio " Jioni" wanalia kivulini kwenye mti wa CCM!
Wala hawanipotezie mda hapa nipo zangu kazini nimekutana na upupu wako nkasema nikuulize tu. Bado siku chache mshahara wangu mnono uingie kwa acount.
So wala hawanipotezei mda.
Kichinjio changu tu siku ya kukitumia kidoogo ndio ntapotezewa mda kwenye kupanga mstari lkn naamini itakua siku ya jumapili. So sio issue.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…