Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

Usisahau wengi wameanza shule enzi ya Mkapa. Si rahisi kujua kilichotokea enzi ya Nyerere na Mwinyi.

Halafu sasa hivi Mkapa wala hayupo kabisa kwenye mijadala juu ya ufisadi.

As if ufisadi umeanza wakati wa Kikwete tu.
 
Dunia itamjua magufuli bila ya kusafiri na atapata mialiko mingi zaidi ila sijui kama atahudhuria.

Kusafiri sii kuondoa matatizo ya watz tumpongeze kwa pamoja na tumuombee sana.
 

Mbona kama unabweka hovyo bila kuona kitu?
Hizo kilele za Magufuli ni kutaka kuudanya umma kwamba anaweza....hakuna chovhote cha ajabu atakachofanya zaidi ya kuonea watu wadogo huku akiwakumbatia wakubwa.
Hebu afanye haya machache nami nitamkubali.
1:Apitie mikataba yote ya madini na gesi aongeza % tunazopewa kutoka 3% hadi 30%
2:Afunge account za wakubwa zilizoko nje ya nchi zoote pamoja na ya mkapa.
3:Akamate wezi wote wa esrow.
Kwa haya machache tu nitamwelewa.
 
Kwani ni Kikwete tu ndiye aliyewahi kuwa rais kabla ya Magufuli?

Watu mnaongea kana kwamba ufisadi na uzembe umeanza na Kikwete.

SMDH.



Wakamatwe Mwinyi na baadhi ya mawaziri wake bila kumsahau Mama Sitti kujihusisha na biashara ya unga enzi zile. Mkapa na mkewe pamoja na mawaziri wake wengi tu waswekwe ndani kwa ufisadi. JK, Ridhiwani na kundi lake Riz1 wakamatwe. Kumbuka JK anamtumia Riz1 kufanya biashara haramu huku akiwataja washikaji wa Riz1 kuwa ndiyo wamiliki mali kumbe changa la macho. MAwaziri karibia ya wengi wa Kikwete wanyongwe na wakurugenzi pia. Kikwete ndiyo aliyeharibu nchi kabisa.
 
Mkuu, ukitaka kupanda ngazi, kunahatua zake, unakwenda ngazi kwa ngazi, kwa sasa kunamambo 2 anashughulika nayo

1:kuimalisha mapato ya ndani hasa tra na bandari,
2:kuweka msingi wa uwajibikaji kwa watendaji wa serikal ktk secta zote ili kuwa tumikia watu, na kuondoa ubwanyenye kuwa mtu furani hawezi kukamatwa....

Baada ya hayo anakuja huko ambako unakusema, na nikuhakikishie tu si asilimia 30, bali ni 50/50 kwenye madini,

Na hyo escrow ki itifaki ni maazimio ya Bunge hvyo niufuatiliaji ...

Baada ya mwaka njoo hapa, utajua ninachoeleza...
 

Kwa mahari tulipofikia hatuhitaji uchawi kama ulivyosema, ila ni kazi tu, sema tahadhari lazima ichukuliwe hasa kwenye utendaji, mfn, wale waliopewa kazi ya kutengeneza barabara hyo tenda ilikuwisha tangazwa na hvyo pesa haikuwepo?? Au baada ya pesa ndipo tenda/au mtu akachukuliwa kufanya kazi??

Angalizo ni mhim, wasije wakamuingiza mkenge rais wetu, ni vyema baadhi ya kanuni zikazingatiwa ila baadhi hapana...

Twende kiuubabe..
 

Kwa mtindo huo wataosalimika ni wachache.
 


Wewe uliishia kuvipigia kelele tu basi, Pombe kavipigia kelele na sasa anavifanyia kazi! Bado huoni cha tofauti anachofanya? Naamini ungepewa nafasi kama yake usingefanya chochote zaid ya kuona haviwezekana kama JK alivyotuharibia nchi.
 
Robot ya korosho utaijua tuu
 

Subiri abishe hodi nyumbani kwako ndio utajua anafanya nini maana nyie kina Tomaso mko wengi:decision:
 


cha ajabu alichofanya ni kusikiliza kilio cha watanazania na kufanya ambacho wengine hawajakifanya......
 

Kama wewe sio kichaa unaelekea kuwa kichaa.... Kama sio kichaa kwa sasa basi utakuwa kichaa shupavu pale milembe
 

Ni kama nyie mliohubiriwa na DJ kuwa tatizo ni mfumo na si mtu, sasa Magufuli anafanya kazi kupitia mfumo upi? shame on you
 
Ndio rais wa kwanza wa nchi ya Kiafrika kubana matumizi,si unajua tena sisi Waafrika ni maarufu kwa kutumia sana huku nchi zetu zikiwa dhohofu bin hali?

Yaani pesa wanaiba wao ufisadi wananuka wao halafu Leo waje watuaminishe eti wanapambana eti kuutokomeza? Hii in zaidi ya kuendeleza gilba kumzidi luiferi mwenyewe. Tumechoka na usanii wa kihivi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…