komoakomesha
JF-Expert Member
- May 4, 2020
- 285
- 401
Ongezea na hiyo amejenga yeye, hongera sana, haijwahi tokea kujengwa underground/tube dunianiNi Dr John Pombe Magufuli, haijawahi tokea
Punguza stress mkuu utapata strokeOngezea na hiyo amejenga yeye, hongera sana, haijwahi tokea kujengwa underground/tube duniani
View attachment 1476481
Sawa!punguza stress mkuu utapata stroke
Ni Dr John Pombe Magufuli, haijawahi tokea
Nimewaangalia watia nia wa Chadema ambao ndio chama kikuu cha upinzani sijamuona yoyote mwenye uwezo wa kuleta maendeleo kama Rais Magufuli.
Hivyo vyama vingine vya upinzani ndio bure kabisa sidhani kama wataweza kusimamisha wagombea.
Nimepitia utekelezaji wa ilani ya uchaguzi ya CCM na mpango wa maendeleo wa miaka 5, niseme tu watanzania walifanya maamuzi sahihi ya kumchagua Rais Magufuli na kiukweli tunapaswa kumpa 5 tena na anastahili.
Maendeleo hayana vyama!
Wewe ndiye uliyezihesabu kura!Binafsi nimefurahishwa na kasi ya Rais Dkt. Magufuli. Naamini wapo pia wengi wanaoungana nami katika furaha hii. Rais Magufuli ameanza kwa kasi ambayo kama ataimaintain, Tanzania haimalizi miaka mitano itakuwa tayari ni nchi yenye kipato cha kati.
Hata hivyo wapo baadhi yetu ambao wanakejeli kasi hiyo. Hao kwangu ni watu waliozoea ubwete na bora liende!. Wanamwona Magufuli kuwa ni mtu atakayekuwa kauzibe kwao!...
Leo yataongea matukio ambayo ni matunda ya kua na mtu Kama Rais wetu Dunian Dr John pombe magufuli
Inauma Ila itabidi mzoee [emoji1787]
Hongera kwake Mh Rais MagufuliView attachment 1459910View attachment 1459911View attachment 1459912View attachment 1459913View attachment 1459914View attachment 1459915View attachment 1459916View attachment 1459917View attachment 1459918
Sent using Jamii Forums mobile app
Jamani mm nampenda Magu kwa baadhi ya mambo anavyo deal nayo lakini vingne nakataa anavyo deal navyo .Suala la elimu mm nilidhani ndoo raisi pekee atakae okoa hii elimu yetu iliyopoteza muelekeo na kufa kabisaa na yeye amekuja kuimalizia kabisaaaaa.Sisi hatuhitaji elimu bure wala elimu bila malipo sisi tunahitaji elimu bora inayoenda na wakati yenye kututoa hapa tulipo na kutusogeza mbele.Hivi huyu raisi kama kweli anawapenda wanyonge kwani asitazame hao watoto wa wanyonge wanaomaliza vyuo vikuuu na vyuo vya kati wanyvokosa ajira za kuajiriwa na kuanza kutanga tanga na kupeleka umaskini katika familia zao? Hapo ndoo angekuja na suluhisho la elimu itakayotolewa kuwasaidia hao watoto wa wanyonge.Jamani tuongeezi ukweli Tanzania kwa sasa imepiga hatua sana kimaendelea,ukweli lazima usemwe hata kwa macho tunaona ,mabarabara,elimu bure,umeme Wa uhakika,nidhamu,huu ndo ukweli
Sent from my TECNO LA6 using JamiiForums mobile app