komoakomesha
JF-Expert Member
- May 4, 2020
- 285
- 401
Ilivoingia kolona watu walimlaumu sana wakataka tuwekwe lock down ,JPM akakataa mipumbavu na malofa wakalaumu sana ,Leo hii kila mtu anamsifia Hadi mataifa ya nje huko, angalia mafanikio aliyoyaleta pombe ni mengi ,hatukuwai zania tungeamia Dom ,Leo tuko Dom na tumezoea, reli ya mwendo kasi inakalibia kuisha na bwawa la umeme limeisha
Kila wilaya Ina hospitali ya kisasa mtake nini Tena nyie malofa ,angalia Mbagala mwendo kasi huo, soko kubwa Afrika Mashariki lipo Dom, stendi kubwa kuliko yote Tanzania iko Dom, jpm ni dume la madume, msipomuelewa mtamuelewa tu.