Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

Akishatawala milele huo uzuri unaouona leo hautauona bali utajutaaa tena utajutaa hasaaa.
 
Ndo maana nimesema atawale milele! Mama pia na Mimi nikiwemo mbona lugha simple tu!!
Tatizo wabongo wengi, hata Mtu akifanya vizuri ni kupinga tu!!
Nimepinga yy kutawal milele hii nch inawatu wengi mno wanaoweza kuongoza..kama mwalimu mwenyew aliondoka who is magufuli...wapo wanaoweza fanya vzur zaidi yake.
 
Hivi haya mnayoyandikaga huwa yanatoka moyoni mwenu kweli,naogopa sana mtu anaenisifia Mara hoo hiki na kile huwa simwamini,tuliwaona watu wengi kipindi cha jk ila leo hamkubali kama kuna kitu amefaya au amelifanyia taifa ili tofauti na kumnanga
So Magu anatakiwa kuwa makini sana na watu wanaomsfia pita kiasi.
 
Nimepinga yy kutawal milele hii nch inawatu wengi mno wanaoweza kuongoza..kama mwalimu mwenyew aliondoka who is magufuli...wapo wanaoweza fanya vzur zaidi yake.
China mpaka wanamuidhinisha Rais wao kuwa Rais wa maisha, je Hamna watu pale???? Hacha mawazo mgando!! Yoweri mseveni huu mwaka wa ngapi???? Hamna wananchi pale wa kuongoza???? Kagame huu ni mwaka wa ngapi????? Hamna wananchi pale wa kuongoza??? Mnataka kutuletea undugulization ikulu kama uongozi wa awamu iliyopita!!!
 
Mnaoponda haimaanishi kila utakalo wewe na mkeo na shemeji yako yafanyike kwa muda utakao wewe,

Tunachoamini ni kuwa pombe katusogeza kututoa sehemu moja kwenda nyingine...najilaumu sana sikumpa kura yangu , nachojua watz wengi tuna mihemko tu ya vyama na mahaba.

Magufuli oyeee.
 
Reactions: nao
Rais Magufuli haitaji kampeni, Kazi zake tu ni kampeni, huyu Rais ni chaguo la Mungu kwa sababu!
1: ana hekima
2: amesaidia watu wa tabaka la chini ambao kimsingi ndo sauti ya Mungu.
3: nidhamu kazini imerejea saiv
4: mikopo kwa wanafunzi haichelewi tena inakuja kwa wakati
5: Hamna njaa kama kipindi cha nyuma
6: Rushwa imepungua kwa kiasi kikubwa
7: ufisadi umepungua..
8: kapunguza foleni dar es salaam.
9: Hamna wenye vyeti feki saiv tunaheshimiana kazini
10: ukifanya kosa Hamna cha kuhamishwa kama zamani ni kutenguliwa

Note: Mwaka 2015 nilikuwa upinzani maana niliona CCM sio chama tena! Lakini kwa Kazi za huyu Rais magufuli, sioni sababu ya kutomuunga Mkono!
 
Jiwe ni chaguo la shetani ibilisi mnuka damu, wanaccm turufu yetu ni Bernard membe
 
Labda unamaanisha miungu na siyo Mungu wa mbinguni.
 
Mungu msimsemee jamani...katika kipindi ambacho siasa chafu chafu zmejitokeza na wanautawala tumekwama kutumia mbinu za kisomi huku tunao Maprofessor,wanasheria,na mahakimu nk lakn bado tumeshindwa basi ni kipindi hiki..Wapinzani wetu wamepata wafuasi wengi kwa sabb tumeshindwa mbinu Safi za siasa hatimae wananchi wamejikuta wanaona bora side B.tuamuke sasa tutumie mbinu Safi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…