Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Stori za muuza kahawa!nimebahatika kuzungumza kwa simu na muuza kahawa Mzee wetu shomari akaniambia hili neno.
nahisi mzee Shomari ni mziefu na msema kweli sana.
Nasema asante sana Mzee Shomari kwa kuniambia ukweli wa kitaa
Kwa nzengo ya lumumba uko sawa! Hakuna namna, ni kusifu na kuabudu tu!Jamaaa kiuhalisia Tu wanazengo wanamkubali ,. Shida ipo kwa wafanyakaz na wafanyakaz biashara za pembe za ndovu
CCM inapendwa na wazee na wasio na elimu (wajinga)nimebahatika kuzungumza kwa simu na muuza kahawa Mzee wetu shomari akaniambia hili neno.
nahisi mzee Shomari ni mziefu na msema kweli sana.
Nasema asante sana Mzee Shomari kwa kuniambia ukweli wa kitaa
Very shit kabisa wewe.Et 95%!?? Unajua walimu wana hali gani kutokana na kukandamizwa haki zao na kutoongezewa mishahara kwa miaka 5?!!natamani nikutukane ila bahati yako .......... Wewe!CCM imeboresha Elimu kwa zaidi ya asilimia 95 na kazi inaendelea
Hiyo miradi hapo yote imenufaisha mabeberu waliolipwa matrilioni. Hakuna mradi hata mmoja hapo unamhusu mkulima maskini wa Tanzania.Uliza swali. View attachment 1498609
Wapinzani hawajawahi kupenda nyuzi zangu...na mimi huwa napost ili wachukieKada mwenzangu,naona wapinzani uzi wako wanaususia..
Jiwe amefanikiwa sana kwenye propaganda, basi.nimebahatika kuzungumza kwa simu na muuza kahawa Mzee wetu shomari akaniambia hili neno.
nahisi mzee Shomari ni mzoefu na msema kweli sana.
Nasema asante sana Mzee Shomari kwa kuniambia ukweli wa kitaa
Kuna kitu kinaendelea cha kushindana na kivuli.Kusema ukweli Kipindi cha Rais Magufuli nchi imepiga kasi kwa muda mfupi ingawaje baadhi hawataki kukubali kwa sababu za kiitikadi tu. Hali ya usalama na utulivu shwari, hospitali zetu safi, elimu bure, maji bwerere, rushwa,ufisadi vimebanwa, mabarabara ya lami almost sehemu kubwa ya mtandao,mfumuko wa bei chini mno,ukusanyaji kodi juu tena kwa Tehama, meli. Ndege, bandari, umeme,migogoro ya wakulima/wafugaji shwari,wasanii happy,kuhamia makao Dom nk.Hivi vyote hivi hamuoni jamani wapinzani! Mnalazimisha agenda za kuokoteza oh mara maendeleo ya vitu tu bila watu- mnashindwa kuoanisha maendeleo ya vitu na athari yake chanya kwenye maisha ya watu. Hesabu ndogo tu mbona.There is always a linkage. Nyinyi watu waajabu kabisa. Lets be realistic safari hii mmebanwa hakuna pa kutokea. Kubalini yaishe
Mh. John Pombe Magufuli, Rais wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa CCM. KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI. Napenda kukupongeza kwa kukuza Demokrasia kwa kiwango kikubwa katika chama chetu na katika nchi yetu pia. Hali hii haijawahi kutokea toka kuundwa kwa taifa letu. Hakika wewe ni mzalendo na mbunifu. Hata hivyo kitendo cha kukuza Demokrasia katika chama chetu cha CCM Kumefanya katika uchaguzi huu ndani ya Chama chetu Cha CCM watu wengi wa rika mbalimbali kujitokeza kugombea nafasi mbalimbali za uongozi, kitendo ambacho kiteongeza mapato ya Chama kutokana na mauzo ya fomu. HAKIKA WEWE NI JEMEDARI
Umejuaje na ulijua magufuli atajenga haya madaraja ya kupigia picha?Nimewaangalia watia nia wa CHADEMA ambao ndio chama kikuu cha upinzani sijamuona yoyote mwenye uwezo wa kuleta maendeleo kama Rais Magufuli.
Hivyo vyama vingine vya upinzani ndio bure kabisa sidhani kama wataweza kusimamisha wagombea.
Nimepitia utekelezaji wa ilani ya uchaguzi ya CCM na mpango wa maendeleo wa miaka 5, niseme tu watanzania walifanya maamuzi sahihi ya kumchagua Rais Magufuli na kiukweli tunapaswa kumpa 5 tena na anastahili.
Maendeleo hayana vyama!