Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani hukumbuki aliwahi kuandika barua WB tusipewe mkopo?Huna akili au umeamu kupotosha mkuu?
sababu gani alizotoa?Kwani hukumbuki aliwahi kuandika barua WB tusipewe mkopo?
kuna mambo mengi ameyafanya, si kila jambo litangazwe kwenye vyombo vya habari, nahakika wengi mnafahamu isipokuwa imani mliowekewa na viongozi wenu kuwa kila jambo nilakupinga, hiyo si nzuri, kubadilika si lazima mwaka uwe mpya, mafanikio ya Magufuli yanatosha kutofautisha yeye na wengine.Mkuu, kwa kupitia vigezo vipi ili akapate kulinganishwa na wengine?
Kwanza ungetuambia ushujaa wake ni upi
hahahhaWa kuikimbia Corona wakati ule ilipopamba moto[emoji849]
Mkuu kuwa wazi ili wote tuwe huru kupima mafanikio yake. Kumbuka huyu ni Rais wa JMT, na wala hamilikiwi na CCM peke yake tu, bali na Watanzania wote bila kujali milengo yao ya kiitikadi.kuna mambo mengi ameyafanya, si kila jambo litangazwe kwenye vyombo vya habari, nahakika wengi mnafahamu isipokuwa imani mliowekewa na viongozi wenu kuwa kila jambo nilakupinga, hiyo si nzuri, kubadilika si lazima mwaka uwe mpya, mafanikio ya Magufuli yanatosha kutofautisha yeye na wengine.