jingalao
JF-Expert Member
- Oct 12, 2011
- 36,197
- 29,717
Ndio maana tukaingia uchumi wa kati mapema kabla ya 2025Umesahau kwamba nyota njema huonekana asubui.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio maana tukaingia uchumi wa kati mapema kabla ya 2025Umesahau kwamba nyota njema huonekana asubui.
Kutekeleza majukumu kwa kasi ipo damuni mwa Jembe MagufuliHii inatakiwa iwe kwenye damu!
Mzee hana kabisa busara na werevu huo
Labda majukumu ya kuchunga ng'ombe!Kutekeleza majukumu kwa kasi ipo damuni mwa Jembe Magufuli
Kwenye kusimamia miradi hapo tunampa big upKusema ukweli Kipindi cha Rais Magufuli nchi imepiga kasi kwa muda mfupi ingawaje baadhi hawataki kukubali kwa sababu za kiitikadi tu. Hali ya usalama na utulivu shwari, hospitali zetu safi, elimu bure, maji bwerere, rushwa,ufisadi vimebanwa, mabarabara ya lami almost sehemu kubwa ya mtandao,mfumuko wa bei chini mno,ukusanyaji kodi juu tena kwa Tehama, meli.
Ndege, bandari, umeme,migogoro ya wakulima/wafugaji shwari,wasanii happy,kuhamia makao Dom nk.Hivi vyote hivi hamuoni jamani wapinzani! Mnalazimisha agenda za kuokoteza oh mara maendeleo ya vitu tu bila watu- mnashindwa kuoanisha maendeleo ya vitu na athari yake chanya kwenye maisha ya watu. Hesabu ndogo tu mbona.There is always a linkage. Nyinyi watu waajabu kabisa. Lets be realistic safari hii mmebanwa hakuna pa kutokea. Kubalini yaishe
Mlizoea kulegeaLabda majukumu ya kuchunga ng'ombe!
Amri tu....! Bila busaraKama machingani
jingalao![emoji24][emoji1787][emoji1787]Mlizoea kulegea
Lumumba hamna mshipa wa aibu!
Huu utawala umefanya wazalendo wa kweli tukinai siasa!
Hovyohovyo tu kama basi la Loliondo
Alicho kiongea ni sahihi kwa asilimia mia ni mpumbavu tuuu atakae bishaNingeshangaa ungepata like hata moja maana haya maneno hayana uhalisia ndio yaleyale maneno ya chadema
Nini maana ya kichaa?Wakuu wakati tunashabikia mambo ya kisiasa kwa kutumia hisia tuwe tunajaribu basi na kutumia akili zetu.
Taifa letu linahitaji kiongozi shupavu aliye imara kimwili na kiakili.
Tunahitaji kiongozi ambaye ataweza kututembelea vijijini kuja kuona maendeleo yetu bila kuchoka, kuzungumza na wananchi ili kujua kenNchi ro zetu.
Ni hivyo tu wakuu basi kama ni hivyo Dkt Magufuli anatosha kabisa kuendelea kuongoza taifa letu.
Ni kiongozi shupavu na imara kimwili na kiakili.