Trust None
JF-Expert Member
- Feb 12, 2018
- 1,260
- 4,419
DuuhKukamata watu na kupambika kesi, kununua wapinzani na kuteua ngosha wa kutosha. Hii ndiyo miradi mikubwa sana imechukua mabilioni ya kutosha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
DuuhKukamata watu na kupambika kesi, kununua wapinzani na kuteua ngosha wa kutosha. Hii ndiyo miradi mikubwa sana imechukua mabilioni ya kutosha
Sawa mkuuDuuh
zaidi ya kugawa mapapai na kula mahindi barabarani, mradi wowote ni fedha za mikopo na mosaada toka nje, nyingine anazogawa kama njugu ni za serikali sema hazikaguliwi, tubaki tu kama wajingaMiundombinu inayojengwa...ni kodi za wananchi
Huduma za afya zinazotolewa...pesa ni ya kodi za wananchi
Mikopo vyuo vikuu...ni pesa za kodi za wananchi
Elimu bila malipo...ni kodi za wananchi
Yote anayotekeleza, yalishatekelezwa na watangulizi wake kwa kutumia kodi hizohizo za wananchi.
Kwa mfano, suala la elimu bure hajalianzisha yeye, lilianzishwa na Mwl Nyerere na Magufuli mwenyewe kasomeshwa bure kabisa na hajawahi kudaiwa pesa hiyo kama ilivyo leo kwa wahitimu wenye mikopo HESLB.
Ni wajibu wa raisi kutekeleza miradi ya maendeleo na si kujisifia wakati mshahara wake HAUKATWI KODI kuchangia shughuli za maendeleo.
WAPAMBE WA JPM:
Naomba mnieleze mradi alioutekeleza kwa kutumia pesa zake mwenyewe, hizi harambee anazochangia bado anatoa pesa kutoka kwenye fungu la ofisi ya rais ambazo pia ni kodi za wananchi
Hakuna hata mmoja zaidi ya kutuibia 1.5trilion.Miundombinu inayojengwa...ni kodi za wananchi
Huduma za afya zinazotolewa...pesa ni ya kodi za wananchi
Mikopo vyuo vikuu...ni pesa za kodi za wananchi
Elimu bila malipo...ni kodi za wananchi
Yote anayotekeleza, yalishatekelezwa na watangulizi wake kwa kutumia kodi hizohizo za wananchi.
Kwa mfano, suala la elimu bure hajalianzisha yeye, lilianzishwa na Mwl Nyerere na Magufuli mwenyewe kasomeshwa bure kabisa na hajawahi kudaiwa pesa hiyo kama ilivyo leo kwa wahitimu wenye mikopo HESLB.
Ni wajibu wa raisi kutekeleza miradi ya maendeleo na si kujisifia wakati mshahara wake HAUKATWI KODI kuchangia shughuli za maendeleo.
WAPAMBE WA JPM:
Naomba mnieleze mradi alioutekeleza kwa kutumia pesa zake mwenyewe, hizi harambee anazochangia bado anatoa pesa kutoka kwenye fungu la ofisi ya rais ambazo pia ni kodi za wananchi
Kumbe anakopa kwa mabeberu??zaidi ya kugawa mapapai na kula mahindi barabarani, mradi wowote ni fedha za mikopo na mosaada toka nje, nyingine anazogawa kama njugu ni za serikali sema hazikaguliwi, tubaki tu kama wajinga
Huu mradi ameutrkeleza kwa asilimia 100Kukamata watu na kupambika kesi, kununua wapinzani na kuteua ngosha wa kutosha. Hii ndiyo miradi mikubwa sana imechukua mabilioni ya kutosha
na kugawa fedha za maigizo barabaraniHakuna hata mmoja zaidi ya kutuibia 1.5trilion.
Miradi yote ni ya kukopa na ufadhili wa mabeberu tu. Hata daraja alikopa.
KabisaHuu mradi ameutrkeleza kwa asilimia 100