Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

Dr. Magufuli amefanya mengi makubwa ila kwa jinsi tu alivyopambana na janga la corona linanipa sababu kubwa ya kumchagua katika uchaguzi huu.

Japokua hakukua na lockdown lakini Corona imetuhenyesha lakini jemedari huyu kashinda vita dhidi ya Corona na maisha yamerudi kama kawaida. .. JPM tano TENA 💪
 
JPM amefanya mengi makubwa ila kwa jinsi tu alivyopambana na janga la corona linanipa sababu kubwa ya kumchagua katika uchaguzi huu...japokua hakukua na lockdown lakini Corona imetuhenyesha lkn jemedari huyu kashinda vita dhidi ya Corona na maisha yamerudi kama kawaida. .. JPM tano TENA 💪
hii imekaa vizuri sana.
kura yako moja kwa JPM.
kura zetu nyingi kwa Tundu Lissu.
 
Hii hata kule ulikolazwa miaka yote hakuna, hahaha Magu 20/25/35, ...

1597930121082.png
 
Wewe mwanamke uwa unahangaika Sana na Lissu

Yaani kumchukua jiwe, Polepole, Bashiru wewe and .co

Hamna ubavu wa kupambana na Lissu kwa hoja.

Sisi tunasubiri kuchinja na kulinda kula siku zote mpaka mtu Lissu atangazwe yaani tutakaa vituoni na mtaani mpaka atangazwe.
 
Kwa ambao wamewahi kuishi ughaibuni wanatambua hili ya kwamba huko ughaibuni mambo ya serekali kuu kujihusisha na ujenzi wa miundombinu ilishapita miaka mingi mno mabara bara yapo tayari reli za uhakika zipo tayari umeme wa uhakika upo tayari feeder road za kuunganisha vijiji na barabara kuu zipo tayari.

Hivyo serekali zao masuala ya kubeba au kutumia bajeti zao kwa ajili ya ya miundombinu zilishamalizika wanachofanya ni kumaintain kila wakati kunapotokea dosari the way Rais wetu anapotupeleka HONGERA SANA JPM wengi hawana upeo wa kuona hili and I am sure muda sio mrefu bajeti zetu hazitaelekezwa tena huko kwenye miundo mbinu bali zitaelekezwa katika kuboresha zaidi huduma za jamii ikiwa ni pamoja na kushusha riba za mabenki kufikia 5% na mengine mengine mengi mno mazuri.
 
Mkuu nimekusoma chukua soda kwa mangi ushushie nitalipa, baadhi wanapinga wanasahau kua bila miondo mbinu iliyo imara uzalishaji utakua na changamoto nyingi ikwemo kushindwa kurahisisha muzunguko wa uzarishaji wenyewe, utafikaje sehemu husika kama mazingira sio rafiki?.
 
Nchi gani ilishaachana na miundo mbinu?

Jitihada za kuwekeza hadi kwenda Mars zinaendelea achilia kwenye afya ambako ikiwezekana watu waishi hata miaka mia 2. Vipi na mitandao ya internet, ma 4G, 5G nk yamekuwapo siku zote?

Kwamba wengi ngumu mno kufahamu? Tushawishi. Kama huwezi hukuwahi kusikia "wengi wape?"

Ebooo usitufokee!
 
Mkuu nimekusoma chukua soda kwa mangi ushushie nitalipa, baadhi wanapinga wanasahau kua bila miondo mbinu iliyo imara uzalishaji utakua na changamoto nyingi ikwemo kushindwa kurahisisha muzunguko wa uzarishaji wenyewe, utafikaje sehemu husika kama mazingira sio rafiki?.
Ndugu yangu yapo mambo ya kimsingi ambayo ni lazima yafanywe kwanza ndipo nchi iweze kuwa stable kiuchumi na hata kuweza kutoa misaada nje pamoja na hata kuwapo watu wake UNEMPLOYMENT BENEFITS
 
Back
Top Bottom