Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

thanks kwa kuuonyesha upeo wako wa kiakili kwani tunasoma ili tuajiriwe au tunasoma ili kupata maarifa ya kusavaivu katika maisha yetu
Ili tujiajiri kama Dr. Kitilya Mkumbo.
EaNjK5lWoAYGOch.jpg
 
Nchi gani ilishaachana na miundo mbinu?

Jitihada za kuwekeza hadi kwenda Mars zinaendelea achilia kwenye afya ambako ikiwezekana watu waishi miaka mia 2.

Kwamba wengi ngumu mno kufahamu? Tushawishi. Kama huwezi hukuwahi kusikia "wengi wape?"

Ebooo usitufokee!
WALISHA YAMALIZA HAYA YOTE NA WAKAKUSAIDIA LAKINI HUKUSAIDIKA SASA WANAONA BORA WACHEZEE MAPESA YAO
 
Mkuu nimekusoma chukua soda kwa mangi ushushie nitalipa, baadhi wanapinga wanasahau kua bila miondo mbinu iliyo imara uzalishaji utakua na changamoto nyingi ikwemo kushindwa kurahisisha muzunguko wa uzarishaji wenyewe, utafikaje sehemu husika kama mazingira sio rafiki?.
Very right!
Tatizo ni kwamba wengi wa wanaopinga maendeleo hayo aliyoyafanya/anayoyafanya rais ni wote wana ulemavu wa akili na upeo wa kutambua ni 0%.
Akili zao wote ni kwa mlemavu mwenzao lisu asiyeitakia nchi yetu mema.
 
Kwa ambao wamewahi kuishi ughaibuni wanatambua hili ya kwamba huko ughaibuni mambo ya serekali kuu kujihusisha na ujenzi wa miundombinu ilishapita miaka mingi mno mabara bara yapo tayari reli za uhakika zipo tayari umeme wa uhakika upo tayari feeder road za kuunganisha vijiji na barabara kuu zipo tayari.

Hivyo serekali zao masuala ya kubeba au kutumia bajeti zao kwa ajili ya ya miundombinu zilishamalizika wanachofanya ni kumaintain kila wakati kunapotokea dosari the way Rais wetu anapotupeleka HONGERA SANA JPM wengi hawana upeo wa kuona hili and I am sure muda sio mrefu bajeti zetu hazitaelekezwa tena huko kwenye miundo mbinu bali zitaelekezwa katika kuboresha zaidi huduma za jamii ikiwa ni pamoja na kushusha riba za mabenki kufikia 5% na mengine mengine mengi mno mazuri.
Mpe takor kabisa
 
Watanzania Wazalendo wamemteua Ndugu John Joseph Pombe Magufuli kuwa #MzalendoNamba01 wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Pamoja na uteuzi huo unaoanza mara moja Ndugu Magufuli ataendelea kushikilia nyadhifa nyingine alizonazo kwa mujibu wa Katiba.

Uteuzi huo wa kihistoria umezingatia mchango wake mkubwa katika kutetea na kulinda Rasilimali za nchi yetu dhidi ya unyonyaji wa mabeberu, vita dhidi ya ufisadi na utetezi wa wanyonge

K.n.y Watanzania Wazalendo
FB_IMG_15982390347885712.jpg
 
Watanzania Wazalendo wamemteua Ndugu John Joseph Pombe Magufuli kuwa #MzalendoNamba01 wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Pamoja na uteuzi huo unaoanza mara moja Ndugu Magufuli ataendelea kushikilia nyadhifa nyingine alizonazo kwa mujibu wa Katiba.

Uteuzi huo wa kihistoria umezingatia mchango wake mkubwa katika kutetea na kulinda Rasilimali za nchi yetu dhidi ya unyonyaji wa mabeberu, vita dhidi ya ufisadi na utetezi wa wanyonge

K.n.y Watanzania WazalendoView attachment 1546433
Wewe unalewa harufu ya mavi asubuhi asubuhi maana pombe huwezi kupata asubuhi!!
 
Watanzania Wazalendo wamemteua Ndugu John Joseph Pombe Magufuli kuwa #MzalendoNamba01 wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Pamoja na uteuzi huo unaoanza mara moja Ndugu Magufuli ataendelea kushikilia nyadhifa nyingine alizonazo kwa mujibu wa Katiba.

Uteuzi huo wa kihistoria umezingatia mchango wake mkubwa katika kutetea na kulinda Rasilimali za nchi yetu dhidi ya unyonyaji wa mabeberu, vita dhidi ya ufisadi na utetezi wa wanyonge

K.n.y Watanzania WazalendoView attachment 1546433
Sambamba na uteuzi huo mashetani pia yamemteua kuwa mshindi bora wa tuzo ya utekaji, uuaji na udikteta bora wa africa na dunia kwa kipindi cha 2015-2020
 
Watanzania Wazalendo wamemteua Ndugu John Joseph Pombe Magufuli kuwa #MzalendoNamba01 wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Pamoja na uteuzi huo unaoanza mara moja Ndugu Magufuli ataendelea kushikilia nyadhifa nyingine alizonazo kwa mujibu wa Katiba.

Uteuzi huo wa kihistoria umezingatia mchango wake mkubwa katika kutetea na kulinda Rasilimali za nchi yetu dhidi ya unyonyaji wa mabeberu, vita dhidi ya ufisadi na utetezi wa wanyonge

K.n.y Watanzania WazalendoView attachment 1546433
Huo utopolo wenu tutaupatia kazi nyingine hapo octoba ila Rais ni Tundu Lissu najua mkisikia jina hilo unajiharishia huko mliko mkubwa mpka mdogo.
Uonevu sasa baathiii.
 
Watanzania Wazalendo wamemteua Ndugu John Joseph Pombe Magufuli kuwa #MzalendoNamba01 wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Magufuli ni Mzalendo Namba 1 wa Chato na sio wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Ni kutokana na ukweli huo ndio maana:-

1. Alipoingia madarakani alikuta bohari za madawa zipo kwenye kanda tu lakini yeye kuingia na kuingia, akaanza kwa kujenga bohari ya madawa Chato, na hatimae Chato kuwa kijiji cha kwanza Tanzania kuwa na bohari ya madawa!

Magufuli alifanya hayo katika kipindi ambacho hata miji mikubwa kama Morogoro, Iringa, Tabora, na mingine kadhaa ikiwa haina bohari ya madawa!

2. Alipoingia madarakani alikuta viwanja vya ndege vya kimataifa vipo kwenye miji mikubwa tu tena ambayo ipo kwenye strategic location, lakini yeye kuingia na kuingia akajenga uwanja wa ndege wa kimataifa Chato na hatimae Chato kuwa kijiji cha kwanza Tanzania kama sio East Afrika kuwa na uwanja wa ndege wa kimataifa kwa ajili ya kuhudumia chato!

3. Alipoingia madarakani alikuta mbuga za wenyewe ambazo hazikuanzishwa na marais wa maeneo hayo lakini ile kuingia na kuingia tu, Magufuli akabadilisha hifadhi ya taifa na kuifanya kuwa mbuga ya wanyama huko huko Chato!!

Lakini kwa kuwa hifadhi hiyo haikuwa na sifa ya kuwa mbuga ya wanyama, Magufuli akalazimika kuhamisha wanyama kutoka sehemu zingine za nchi na kuwapeleka kwenye mbuga iliyopo kijijini kwake, na kwa mara nyingine kuandika historia ya kuwa rais wa kwanza Tanzania kukamata wanyama kutoka mbuga moja na kuwapeleka kwenye mbuga aliyojianzishia nyumbani kwao!

4. Alipoingia madarakani alikuta hospitali za rufaa za kanda zipo kwenye makao makuu ya kanda pekee ili kuhudumia watu wa kanda mzima lakini yeye kuingia na kuingia tu, hospitali yake ya kwanza ya kanda kuijenga alijenga Chato, na kwa mara nyingine Chato kuwa ndio kijiji cha kwanza Tanzania kuwa na hospitali ya rufaa ya kanda!!

Kwa kumbushana tu, Chato ipo pembezoni kabisa mwa mkoa wa Geita, na kwa maana nyingine, wananchi wa Geita wa maeneo mengine wanatakiwa kusafiri maili kadhaa kwenda Chato kupata huduma ya matibabu!

Ni kutokana na sababu hizo 4, ingawaje pia zipo nyingine kadhaa, ndo maana sina japo punje ya shaka kutangaza kwamba Magufuli sio Mzalendo No.1 Tanzania bali ana sifa zote za kuwa Mzalendo No. 1 kijijini kwao Chato!!
 
Miundombinu inayojengwa...ni kodi za wananchi

Huduma za afya zinazotolewa...pesa ni ya kodi za wananchi

Mikopo vyuo vikuu...ni pesa za kodi za wananchi

Elimu bila malipo...ni kodi za wananchi

Yote anayotekeleza, yalishatekelezwa na watangulizi wake kwa kutumia kodi hizohizo za wananchi.

Kwa mfano, suala la elimu bure hajalianzisha yeye, lilianzishwa na Mwl Nyerere na Magufuli mwenyewe kasomeshwa bure kabisa na hajawahi kudaiwa pesa hiyo kama ilivyo leo kwa wahitimu wenye mikopo HESLB.

Ni wajibu wa raisi kutekeleza miradi ya maendeleo na si kujisifia wakati mshahara wake HAUKATWI KODI kuchangia shughuli za maendeleo.

WAPAMBE WA JPM:
Naomba mnieleze mradi alioutekeleza kwa kutumia pesa zake mwenyewe, hizi harambee anazochangia bado anatoa pesa kutoka kwenye fungu la ofisi ya rais ambazo pia ni kodi za wananchi
 
Back
Top Bottom