Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

Uongo ni dhambi tubu.
 
Mimi ni mtumishi mbona sijanufaika sijapandishwa cheo wala kuongezwa chochote watumishi wanchi gani unazungumzia Huyu Mzee ana Roho mbaya sana kwa kweli, utafikiri hana vinasaba vya Ubinadamu kwenye Moyo wake kura yangu kwa Lissu.
 
Uongo serikali yenye kupika takwimu kila kitu uongo uongo tu.
 
Ndugu yangu, hawa ni watumishi wa aina zote na kada zote. Watumishi wenyewe wanajua walivyonufaika na wana jambo lao la kufanya tarehe 28 Okt. Ni kumpa kura zote JPM
Uongo Acha kupotosha Vitu usivyovijua
 
Wanajeshi, polisi ,magereza, uhamiaji, zimamoto and the like

WATUMISHI WA UMMA HAWAFIKI 400K

so acha UONGO
 
TUNAKWENDA NA MAGUFULI YUPI HUYU WA 2020?

MWONE MWENYEWE
 

Attachments

  • Magufuli wa 2020.mp4
    2.5 MB
Pamoja na hayo yote mkuu! Japo kwa issue ya watumishi naona mnadanganya!!! Tuwe wa kweli mh raisi round hii kama akichaguliwa basi hili la watumishi akarekebishe maana hayo uliyosema sio kweli!!! Na pia aangalie kwenye kuongeza ajira kwa vijana... Watumishi laki 5 kwenye ichi yenye watu milioni 60 No hili la ajira mkuu akalipe kipaumbele na wanaostaili madaraja wapewe na sio kwa mafungu wapewe wote ili watumishi wetu wawe na amani na waweza kutuhudumia bila visirani... Maendeleo hayana chama
 

WEWE UTAKUWA NI MMOJA WA GENGE LA JECHA
 
Umejitoa fahanu kbs na kuandika huu ushuzi?
 
Hahah kumbe umekariri ile miaka 3 sasa hivi utaratibu wa kupanda daraja unategemea perfomance ndugu sio kila baada ya miaka 3 mwenye perfomance nzuri ndio anapanda...kuna mfumo unaitwa OPRAS...sasa wewe tulia usubiri miaka...ova
 
Huyu member mpya wa mwezi September 2020 anakua kama ametumwa kwa kazi maalum,,[emoji125][emoji125][emoji125]
 
Kuna watu wanadai salary arrears zao za toka 2014 bado hawajalipwa. Acheni porojo
Mwambie huyu 'mburula' wa sisiemu.Mimi kama mimi nadai arrears zangu tangu 2015 hadi leo sijalipwa,halafu anatokea juha mmoja anakuja kutuletea siasa za uongo hapa JJ.
 
Wastaafu je? Watu wamestaafu wanakwenda mwaka hawajalipwa mafao yao!
 
Mkuu hujanielewa, soma vizuri utanielewa.
Kuna haja gani kuwashwa washwa
Si mlisema watumishi ni wachache kura zao hazina thamani kwenu.

Sasa mwambieni atulie ili mh Lissu aseme nao,

Wanalo jambo lao
 

Dah.... uliona mbali sana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…