Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

Atafanikiwa kukosa fedha za misaada na mikopo kutoka kwa mabeberu.
 
Atafanikiwa kukosa fedha za misaada na mikopo kutoka kwa mabeberu
 
Wanajanvi naomba niwasalimu katika jina jema la Mwenyezi Mungu na Mtume wake M.S.A.W

Nina furaha na hamasa kubwa kutoka kwa Wanajamii wa Bagamoyo. Tumeona kamji ketu sasa barabara zinajengwa, tope zinapungua, hadhi ya Bagamoyo inarudi.

Rais wetu Mpendwa Magufuli karibu tena Bagamoyo. Tunakupenda, tunakuhitaji, na tuko pamoja nawe.

Asante Kwa Leo. Karibuni Bagamoyo
 
Watanzania, ni mambo ya ajabu yamefanyika katika nchi hii, ya ajabu! Ninaposema ya ajabu... mtu alikua yuko radhi kuuza maisha ya watanzania kwa pick-up

Mungu ibariki Tanzania Mungu mbariki rais John Pombe Magufuli
 
Ni awamu za CCM ndo zilimefanya hayo... Hata awamu hii zile 1.5T hazijulikani ziliko
 
Kijue chama, zijue Sera na ujue uongozi mkuu, na uweze kichambua na kutofautisha nyakati
Wewe ndio usiyejua hizo trillion ziliko, wenzio wanajua vizuriii
Chama kisichoweza kudhibiti viongozi wake waandamizi lazima kizalishe upupu. ......... subiri na huyu aondoke.
 
Watanzania, ni mambo ya ajabu yamefanyika katika nchi hii, ya ajabu! Ninaposema ya ajabu... mtu alikua yuko radhi kuuza maisha ya watanzania kwa pick-up

Mungu ibariki Tanzania Mungu mbariki rais John Pombe Magufuli
Kiutaratibu namanisha kiutaratibu hakupaswa kusema hivyo. Why alikuwa Kati Yao hivyo hawezi shambulia watu wasioweza jitetea. Amekuwa waziri awamu zote mbili hence aliridhia pia ktk vikao vya Baraza la mawaziri na Bunge. Nadhani watayamaliza ndani ya chama. Take my words
 
Wanasemaga usimtukane mamba kabla huja vuka mto pengine alikuwa anasubiri avuke!
 
Watanzania, ni mambo ya ajabu yamefanyika katika nchi hii, ya ajabu! Ninaposema ya ajabu... mtu alikua yuko radhi kuuza maisha ya watanzania kwa pick-up

Mungu ibariki Tanzania Mungu mbariki rais John Pombe Magufuli
Mr. MV DAR ES Salaam
 
yani utasikia kiongozi wa ccm akisema "tumeumizwa sana" utafikiri hapo kabla dola iliwahi kukamatwa na upinzani, hii inachekesha sana.

kwani huo ubadhirifu na ufisadi ulifanywa na chama kipi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…