peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 14,255
- 23,949
Atafanikiwa kukosa fedha za misaada na mikopo kutoka kwa mabeberu.Wadau, huu ni uzi maalumu wa kuangazia na kujadili mafanikio ya Rais Magufuli katika kipindi chake hiki cha mwisho (2020 - 2025) kwa mujibu wa katiba tuliyonayo.
Kwakuwa ndio kwanza ngwe imeanza, tutakuwa tunaupdate mara kwa mara.
Viva Magufuli viva