Ndugu wanajukwaa! rais magufuli tulipo mchagua tulikuwa na iman nae sana, na tuliamin atatuvusha kutoka sehem moja kuelekea nyingine, binafsi mpaka sasa ninamuunga mkono kwa kasi yake ya ajabu ya kupambana na mafisad na kulinda raslimari zetu! kitu ambocho mpaka sasa cjamuelewa rais wetuni kwamba anampango gan na mafisad waliopo ndan ya chama? kwenye serikali zilizopita tuliona viongozi wa ngazi za juu wa serikali wakijimilikisha migod, viwanda, mashamba nk, bila shaka anawajua kabisa,sasa hao watu anampango nao gan? maana tunaona ana dili na vidagaa wakati ma papa wapo? Kuna viongoz wameiingiza nchi kwenye mikataba ambayo haina tija kwa maslah yao sasa hao rais nao hawajui? kwa iyo tunamuomba mh rais kama anauzalendo wa kweli na hii nchi ahakikishe hata wale viongoz wakuu wa serikali zilizopita nao anawawajibisha, apo ndio tutakuwa na iman nae na sio kuwaonea watu wa tabaka fln, haki itendeke kwa wote sababu yeye alikuwa kwenye system kitambo hivyo wale wote waliofanya ufisad wa kujilimbikizia mali kupitia raslimali zetu anawajua. Baada ya kusema ayo naomba kuwasilisha