Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

Mheshimiwa rais mtukufu kwa niaba walimu na mimi nikiwa miongoni mwao,napenda kukukumbusha kuwa walimu hawahitaji mishahara mikubwa kama ambavyo wamekuwa wakidai,kwani kwa sasa ukiangalia walimu ni wengi sana unakuta shule moja inawalimu 60 huku baadhi ya walimu wakifundisha mkondo mmoja walimu wawili ,kukuthibitishia hili, ni shule ninayofundisha mimi tuko walimu 20,wanafunzi 60 kwa shule nzima,na kuna baadhi ya walimu wanafundisha darasa moja walimu wawili,kwa mtazamo wangu na nafsi yangu naona kama mshahara ninao pewa ni wabure,kwani kwa siku ninakipindi kimoja cha dakika 40,hivyo napendekeza kama ulikuwa na lengo la kutuongezea mshahara walimu naomba usitishe mara moja,pesa hiyo inunue dawa,pia isaidie masikini na yatima.
 
Unafundisha chekechea au shule yako iko kwenye maeneo ya msitu.
 
Ee Mungu simamia hawa ndugu zangu Watanzania wazidi kumuoombea rais wetu Magufuli. Nakuomva pia uzidi kumpa ulinzi wqoko wa heri ili azidi kufichua yote yaliyojificha. Baba katika jina la mwanao Yesu Kristo ninaomba na kuamini kuwa utazidi kutenda miujiza na kuzidi kumbariki Magufuli.
Mungi ibariki Tanzania
Mungu M bariki Magufuli.

AMINA tutamuombea.
 
Were kama unamambo yenye point sio lazima kutoa hoja,tena hoja za kichokozi au kukebehi MTU au kundi la watu,huna point acha unatakakuwa NAPE
 
walimu wengi hovyo sana,staff yanakaa kama mitoto fulan hivi,kichwan shallow mbaya haf et yanadai mkwanja upande
 
mkuu bandari tu tukiibana vizuri na hawa matajiri wa madini , utalii bila shaka tutaweza kufika hadi 4.0 triolion kwa mwezi mark my words

Mkuu uko sawa kabisa.

Kwenye Madini ni kwamba wachimba madini wamekuwa wakiuza madini hayo kiholela kwa watu mbalimbali bila kufuata utaratibu unaotakiwa.

Lets say mgeni anakuja Tanzania na anakwenda kwenye machimbo na kununua tu madini kwa bei ya rejareja lakini anakuwa hajalipa ushuru na muuzaji mwenyewe anakuwa hana stakabadhi ya malipo.

Kwenye Utalii, wale mawakala wa Utalii wengi walio nje ya nchi wanakosesha mapato serikali yetu kwa kutangaza, kufanya bookings za mahoteli na mbugani kwa kubaki na fdha za kigeni nchini mwao ilhali wageni wanakuja nchini na kulipa kiingilio tu kwenye mbuga za wanyama maana kila kitu kinakuwa kimelipwa huko nje.

Lakini serikali inaweza kuwatoza kodi wageni kwa kuwasaidia wazawa kuendesha shughuli hizo wakiwa nchini na pia kupitia ofisi za balozi zetu ambapo kunakuwa na kitengo maalum cha "tourism".

Sasa tatizo lipo kwenye uwezeshaji watanzania kimtaji na kielimu ingawa kielimu wapo walosoma hadi hadi shahada za pili kwenye mambo ya utalii ikiwemo airline ticketing na tour operatations hivyo watanzania wenye ujuzi huo wanakuwa na kasehemu Ulaya au sehemu nyingi mahsusi kwa ajili ya kufanya biashara ya Utalii.

Ni maoni tu nafikiri mwenye mawazo mbadala anaweza kuchangia.
 
Mheshimiwa Ali Hassan Mwinyi alifanya kama hivi baadae akaekewa kikao na CC na Nyerere kuwa anakwenda kinyume na sera za chama ajieleze.

kwa bahati alijitayarisha vizuri na ushaidi kamili katika utetezi wake na CC ya CCM ikaubali yote alofanya.
Lakini baadae akaja kuvuruga.
 
Mheshimiwa rais mtukufu kwa niaba walimu na mimi nikiwa miongoni mwao,napenda kukukumbusha kuwa walimu hawahitaji mishahara mikubwa kama ambavyo wamekuwa wakidai,kwani kwa sasa ukiangalia walimu ni wengi sana unakuta shule moja inawalimu 60 huku baadhi ya walimu wakifundisha mkondo mmoja walimu wawili ,kukuthibitishia hili, ni shule ninayofundisha mimi tuko walimu 20,wanafunzi 60 kwa shule nzima,na kuna baadhi ya walimu wanafundisha darasa moja walimu wawili,kwa mtazamo wangu na nafsi yangu naona kama mshahara ninao pewa ni wabure,kwani kwa siku ninakipindi kimoja cha dakika 40,hivyo napendekeza kama ulikuwa na lengo la kutuongezea mshahara walimu naomba usitishe mara moja,pesa hiyo inunue dawa,pia isaidie masikini na yatima.
Ukapimwe akili wewe, nenda vjijini huko shule nyingi Wanafunzi zaidi ya 300 walimu 3-6!, na swala sio mshahara ni uboreshaji mazingira ya kujifunzia na kufundishia, vifaa na zana na mmiundombinu yote kiujumla. Acha utani katika mambo nyeti- Ndorobo weE.
 
Hadi sasa ndani ya siku 30 spidi yake ni 120 kph. Anakula sahani moja na wakubwa!

Akishamalizana na TRA, TPA, TANESCO, NSSF, etc etc etc atakuwa yupo spidi 180 kph.

Baada ya hapo aende kutumbua jipu kuu baba lao la majipu yaani "CCM". Hapo atakuwa spidi 360 kph halafu kwenye corner.

Hii ni serikali ya Magufuli sio ya CCM!
 
We ilo ccm ni jipu gumu sana, labda amuige Rais wa Zambia
 
Hadi sasa ndani ya siku 30 spidi yake ni 120 kph. Anakula sahani moja na wakubwa!

Akishamalizana na TRA, TPA, TANESCO, NSSF, etc etc etc atakuwa yupo spidi 180 kph.

Baada ya hapo aende kutumbua jipu kuu baba lao la majipu yaani "CCM". Hapo atakuwa spidi 360 kph halafu kwenye corner.

Hii ni serikali ya Magufuli sio ya CCM!

Dr Magufuli ni mtu mwenye fikra huru ndani ya CCM,hana U-CCM wala hajatawaliwa na itikadi ya chama,he is his own man(independent thinker).
 
Tatizo la Tanzania sio chama, tatizo tulikosa kiongozi mwenye mapenzi na taifa lake, anaetaka kuwatumikia watanzania kwa hali na mali, mwenye uchungu na taifa lake hili halikuwa upande wa ccm ila ata ukawa kwa Lowassa walifeli pia hivo huwezi kusema kama pandikizi ikiwa yule wao walibugi
 
Hadi sasa ndani ya siku 30 spidi yake ni 120 kph. Anakula sahani moja na wakubwa!

Akishamalizana na TRA, TPA, TANESCO, NSSF, etc etc etc atakuwa yupo spidi 180 kph.

Baada ya hapo aende kutumbua jipu kuu baba lao la majipu yaani "CCM". Hapo atakuwa spidi 360 kph halafu kwenye corner.

Hii ni serikali ya Magufuli sio ya CCM!
Pandikizi la ukawa hii ya kina kingunge, au kuna ukawa nyingine?!
 
Tatizo la Tanzania sio chama, tatizo tulikosa kiongozi mwenye mapenzi na taifa lake, anaetaka kuwatumikia watanzania kwa hali na mali, mwenye uchungu na taifa lake hili halikuwa upande wa ccm ila ata ukawa kwa Lowassa walifeli pia hivo huwezi kokusema kama pandikizi ikiwa yule wao walibugi
Jamani mbona upeo Shida hivi amjui nchi hii Chadema walikuwa wanaitaka kupitia lowasa na haya yote magu anayo fanya yangefanywa na akina lssu,mnyik, mbatia na mbowe ndiyo mngejua kwa nn Chadema walimtaka lowasa awasaidie kuchukua nchi kutoka kwenye mikono ya ccm
 
Hapana magufuli sio pandikizi, hata kama anatekeleza Sera za ukawa, anajua wananchi wanataka nini
 
Hadi sasa ndani ya siku 30 spidi yake ni 120 kph. Anakula sahani moja na wakubwa!

Akishamalizana na TRA, TPA, TANESCO, NSSF, etc etc etc atakuwa yupo spidi 180 kph.

Baada ya hapo aende kutumbua jipu kuu baba lao la majipu yaani "CCM". Hapo atakuwa spidi 360 kph halafu kwenye corner.

Hii ni serikali ya Magufuli sio ya CCM!

Sera ya CCM ni kupambana na ufisadi na ilianza na Lowasa ambaye UKAWA mlimchukua na sasa inaendelea na wale mafisadi wengine waliobakia wawe CHADEMA au CCM walioko serikalini na Mashirika ya UMMA.

Tumbueni na nyie jipu la Ufisadi,ukanda na ukabila huko CHADEMA tuwaamini kuwana nyie ni watu wa Hapa kazi tu
 
Back
Top Bottom