Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

Mstaafu kamfanya mpya aonekane wa ajabu kwa vitu vya kawaida.
 
well said mkuu...watu wanalalamika tu bila reasons za msingi..mwacheni president afanye kazi aisee
 
nasikia wanajengewa mabweni,ndomaana baraza linachelewa,hadi yakamilike ndo atawatangaza...
Hakuna ubaya mawairi kuishi kwenye dormitories kwa sasa.., tukikamilisha ujenzi wa nyumba za mawaziri watahamia uko. Ofcourse tuliteleza kuuza nyumba za serikali.
 
Wizi,ujambazi,umalaya,uzinzi na udokozi ni baadhi ya tabia mbaya katika jamii yoyote iliyostaarabika.
Kipindi matokeo ya uchaguzi mkuu yalivyokuwa yakitangazwa na tume ya judge rubuvu kulikua na kila viashilia vya wizi na udokozi wa kura za lowasa na ukawa.
kwakua wizi na udokozi ni kati ya tabia mbaya katika jamii yoyote kama nlikvyotangulia kusema kwa huu wizi na udokozi wa tume wa kuiba kura za lowasa na kumpa mh magufuri...naomba nichukue fursa hii kuwashukuru sana tume ya uchaguzi kwa kufanikiwa kudokoa kura za lowasa.mh magufuri ndiyo aina ya raisi wazalendo wote tuliokuwa tukimlilia aje kuiondoa Tanzania kwenye mambo ya business as usual
japo ni mapema sana kumsifia mh magufuri ila waswahili wanasema nyota njema uonekana asubuhi.
#tumbuaMajipu
 
Wizi,ujambazi,umalaya,uzinzi na udokozi ni baadhi ya tabia mbaya katika jamii yoyote iliyostaarabika.
Kipindi matokeo ya uchaguzi mkuu yalivyokuwa yakitangazwa na tume ya judge rubuvu kulikua na kila viashilia vya wizi na udokozi wa kura za lowasa na ukawa.
kwakua wizi na udokozi ni kati ya tabia mbaya katika jamii yoyote kama nlikvyotangulia kusema kwa huu wizi na udokozi wa tume wa kuiba kura za lowasa na kumpa mh magufuri...naomba nichukue fursa hii kuwashukuru sana tume ya uchaguzi kwa kufanikiwa kudokoa kura za lowasa.mh magufuri ndiyo aina ya raisi wazalendo wote tuliokuwa tukimlilia aje kuiondoa Tanzania kwenye mambo ya business as usual
japo ni mapema sana kumsifia mh magufuri ila waswahili wanasema nyota njema uonekana asubuhi.
#tumbuaMajipu

= Lubuva
= viashiria
= Lowassa
= Magufuli
= Lowassa
= Magufuli
= Magufuli
 
Baada ya Magufuli kuonekana hayuko upande wao na kuonekana anatekeleza sera za UKAWA, wamekuwa wakidai anatekeleza sera alizoahidi wakati wa kampeni.

Tunapowauliza basi tuonyesheni sera hata moja ya CCM iliyotekelezwa na Magufuli hadi sasa hawana.

Tunawauliza mlidai Lowassa ni fisadi mbona wanaokamatwa ni wafadhili wakubwa wa CCM na maswahiba wa baba wa Msoga? Hawana jibu.

Sisi wengine ambao ni wapinzani wa CCM siyo Magufuli tunakula pop corn tukiangalia movi la wana CCM wanavyohangaika na kujikaanga wenyewe kwa wenyewe.

Msitulaumu sisi ni wachochea kuni tu mafuta ni yenu wenyewe.
 
Mtoa mada ni mnafiki na limbukeni kama malaya wa ohio,kila siku unajipendekeza kwa magufuli unadhani ni ccm mwenzenu huyo?Wewe na ccm wenzako wote ni majuha ya kutupwa,wakati JK anaboronga nyie ndo mlikuwa mnamuunga mkono na kila akikosolewa mnaamka kwa hasira na kutetea serikali yake ya kifisadi,amekuja magufuli aliyevaa joho la ccm lakini ndani yake ni CHADEMA na anaongoza taifa sawa sawa na ilani ya CHADEMA ilivyo eti unajifanya kumfagilia wakati ni magufuli ni anti-ccm kabisa,sera ya ccm ni ufisadi na wizi,huyu rais magufuli siyo mwenzenu kabisa ni wa kwetu sisi UKAWA maana anaendesha nchi tofauti na majambazi ya ccm,wewe kenge Barbarosa hukuona ktk serikali ya JK mawaziri wakiishi hotelini? Uliamka na kupinga? Si ulikuwa ccm wewe ukiunga mkono kila uozo? Magufuli atawakomesha pimbi nyie,na hiyo namba mnaisoma wenyewe na siyo wapinzani,nadhani hata baba yako ni fisadi muda si mrefu atanyea ndoo! Mlidhani magufuli ni fisadi mwenzenu imekula kwenu pumbavu mkubwa wewe,ukome kabisa kujikomba kwa prezda.
 
Nawarudisha nyuma kidogo miezi minne iliyopita kipindi cha kampeni wanaccm wengu walikuwa Na msemo wao mtaisoma namba
Mbona kama wao sasa ndio wanaongoza kuisoma Na tena kwa kulalamika !????
 
Kwa haya madudu anayoyaibua Rais Magufuli sasa inaonesha kua sisi wachache tulikua bize na kuteua wakuu wa vitengo katika taasisi mbali mbali na kupandishana vyeo tu ili kulipanda fadhila! Tulikua hatujui kuna nini kinaendelea huku makabwela wakiichangia maji ya kunywa na wanyama,kina mama kujifungulia chini, watoto wao wakisoma chini ya miti wakiwa wamekaa chini.

Wacha tukae pembeni tuangalie nchi inavyoendeshwa.
 
Ndugu wanajukwaa! rais magufuli tulipo mchagua tulikuwa na iman nae sana, na tuliamin atatuvusha kutoka sehem moja kuelekea nyingine, binafsi mpaka sasa ninamuunga mkono kwa kasi yake ya ajabu ya kupambana na mafisad na kulinda raslimari zetu! kitu ambocho mpaka sasa cjamuelewa rais wetuni kwamba anampango gan na mafisad waliopo ndan ya chama? kwenye serikali zilizopita tuliona viongozi wa ngazi za juu wa serikali wakijimilikisha migod, viwanda, mashamba nk, bila shaka anawajua kabisa,sasa hao watu anampango nao gan? maana tunaona ana dili na vidagaa wakati ma papa wapo? Kuna viongoz wameiingiza nchi kwenye mikataba ambayo haina tija kwa maslah yao sasa hao rais nao hawajui? kwa iyo tunamuomba mh rais kama anauzalendo wa kweli na hii nchi ahakikishe hata wale viongoz wakuu wa serikali zilizopita nao anawawajibisha, apo ndio tutakuwa na iman nae na sio kuwaonea watu wa tabaka fln, haki itendeke kwa wote sababu yeye alikuwa kwenye system kitambo hivyo wale wote waliofanya ufisad wa kujilimbikizia mali kupitia raslimali zetu anawajua. Baada ya kusema ayo naomba kuwasilisha
 
Miako 10 ya Kikwete ni The Lost Ten Years.

Kikwete hakujua uzito wa Jukumu alilokuwa nalo hata kidogo wala hakuwa anajua nini kinaendelea hata pale Ikulu alone
 
Back
Top Bottom