CleverKING
JF-Expert Member
- Apr 24, 2014
- 8,502
- 25,470
Umeongea "Point" Mkuu Barbarosa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna ubaya mawairi kuishi kwenye dormitories kwa sasa.., tukikamilisha ujenzi wa nyumba za mawaziri watahamia uko. Ofcourse tuliteleza kuuza nyumba za serikali.nasikia wanajengewa mabweni,ndomaana baraza linachelewa,hadi yakamilike ndo atawatangaza...
Wizi,ujambazi,umalaya,uzinzi na udokozi ni baadhi ya tabia mbaya katika jamii yoyote iliyostaarabika.
Kipindi matokeo ya uchaguzi mkuu yalivyokuwa yakitangazwa na tume ya judge rubuvu kulikua na kila viashilia vya wizi na udokozi wa kura za lowasa na ukawa.
kwakua wizi na udokozi ni kati ya tabia mbaya katika jamii yoyote kama nlikvyotangulia kusema kwa huu wizi na udokozi wa tume wa kuiba kura za lowasa na kumpa mh magufuri...naomba nichukue fursa hii kuwashukuru sana tume ya uchaguzi kwa kufanikiwa kudokoa kura za lowasa.mh magufuri ndiyo aina ya raisi wazalendo wote tuliokuwa tukimlilia aje kuiondoa Tanzania kwenye mambo ya business as usual
japo ni mapema sana kumsifia mh magufuri ila waswahili wanasema nyota njema uonekana asubuhi.
#tumbuaMajipu
= Lubuva
= viashiria
= Lowassa
= Magufuli
= Lowassa
= Magufuli
= Magufuli
= Lubuva
= viashiria
= Lowassa
= Magufuli
= Lowassa
= Magufuli
= Magufuli
Nasubiri kuona Tanzania mpya ya Magufuli
Njoo kitandani nikuoneshe