Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

Magufuli ameanza kazi kwa Kasi ya UKAWA na ameanza kutekeleza mahitaji ya watanzania wengi.Mungu akupe maisha marefu ila utapata vikwazo vingi ktk kutekeleza majukumu yako kutoka kwa WANACCM kwani waliowengi hawaipendi hii Kasi uliyonayo kwani wengi wao wameshiriki ktk madudu mengi
 
Magufuli alikua anakemea ufisadi kwenye majukwaa na alisema ataunda mahakama ya mafisadi.

Sikumbuki lini Lowasa alikemea ufisadi majukwaani.....

Kwa hiyo Magufuli anatekeleza aliyoyaahidi na si ya ukawa.....

Muache kutafuta faraja kwa kuongopa
 
Lichama limejaa wanafiki, waganga njaa, wachumia tumbo, wapenda sifa, na uozo wote unaoujua.

Nani atalipenda zaidi ya wanafiki?!
 
Naona mnazidi kujifariji!
Wakati ana nadi mabadiliko kutoka ndani ya CCM mlikuwa hamja muelewa ndio mnaelewa asaivi??
 
Hongera Magufuli kwa kuliponya Taifa! Watz tumekuwa wavivu mno na mbaya zaidi ni uvivu wakufikiri! Moyo wa utaifa/uzalendo umekwisha kabisa badala yake watu/viongozi ni wabinafsi, mafisadi na watu wa maneno matupu! Safari za nje ni matokeo ya ubinafsi! Ile dhana ya Heshima ya mtu ni kazi viongozi wetu waliigeuza kuwa Heshima ya MTU ni pesa! Bila kujari zinapatikana vipi!
Viongozi wakifisadi walijenga mambo ya uchama ilikulinda maslahi yao ya uovu na kulifanya bunge kuwa kama bendi ya taarabu! Asante pia kukemea mambo ya mipasho bungeni! Binafsi sikukupa kura sababu ya chama chako na matendo yake lakini napenda kukupa hongera za dhati na nakutakia mafanikio wewe na SERIKALI YAKO YA MAGUFULI!
 
Wakuu mimi ni UKAWA original lakini tangu alipoapishwa Rais John Pombe Magufuri napata shida ndani ya moyo wangu kwa kuwa nilimnyima kura sijui ndiyo laana inaniandama naombeni msaada wa ushauri wakuu.
 
Wakuu mimi ni UKAWA original lakini tangu alipoapishwa Rais Magufuri napata shida ndani ya moyo wangu kwa kuwa nilimnyima kura John Pombe Magufuri sijui ndiyo laana inaniandama naombeni msaada wa ushauri wakuu.
Muombe msaada mumeo aliyempigia kura Magufuli
 
hapo hakuna namna mkuu hapo ni kujinyonga tu. Ww jinyonge
 
Magufuli alikua anakemea ufisadi kwenye majukwaa na alisema ataunda mahakama ya mafisadi.

Sikumbuki lini Lowasa alikemea ufisadi majukwaani.....

Kwa hiyo Magufuli anatekeleza aliyoyaahidi na si ya ukawa.....

Muache kutafuta faraja kwa kuongopa

Kabisa yaani UKAWA wanaanza dandia mafanikio!
 
Barani Africa, Nigeria imeiambukiza nchi ya Tanzania ugonjwa usiotibika kirahisi. Maigizo. The carrier of this disease was the late Kanumba the great in the movie called Dar to Lagos. Mambo ya "this food is too much pilipili". Since then raia wa Tanzania wamekuwa wapenzi wa kutizama maigizo kwenye luninga kama ilivyo kwa Wanigeria.Na Kanumba alijizolea umaarufu mkubwa ajabu. Mazishi yake yalivunja record ya msiba wa Baba wa Taifa. Rest in peace the legend.

Kanumba aliacha pengo kubwa katika tasinia ya Bongo Movies.Kulikuwa na ombwe katika maigizo. Tasinia hii ilianza kupoteza mashabiki kila uchao kwa sababu ya kukosekana kwa wahusika mathubuti wenye kuigiza visa vya kusisimua.

Lakini tangu ujio wa filamu ya Hapa Kazi tu, ombwe hili linaekea kuzibwa barabara.Mhusika mkuu ana kaliba ya Kanumba; anajua kubuni na kuigiza visa vinavyosisimua ajabu. Kwa vile huu ugonjwa kutoka Nigeria umewaathili Watanzania, na sasa wanapenda maigizo ya kwenye TV, awamu hii inaanza kupendwa sana. Sasa hivi kila siku watu hawabanduki kwenye TV zao, wanataka kushuhudia vitimbi na makeke ya 'Kanumba' wao.Na filamu ndiyo kwanza imeanza. Ni filamu ya kusisimua ajabu. Na inaelekea mapema kuvunja record ya mauzo iliyokuwa inashikiliwa na ile filamu maarufu ya "Kasi Mpya Nguvu Mpya" Tayali mamulaka ya Bongo Movies imethibitisha kwamba filamu hii ya Hapa Kazi tu imekamata soko vilivyo. Hakuna movie nyingine inakohoa ndani ya Bongo.

Movie hii itafika kwenye climax pale balaza la mawaziri litakapoteuliwa. Tunaambiwa kwamba wahusika sasa hivi wanajifua vilivyo ili kuendana na kasi ya mhusika mkuu. Hili ni booonge la movie. Muda huu macho na masikio ya hadhira yako wazi muda wote. Sio filamu ya kukosa hii. Kila mtazamaji anaisubiri kwa hamu episode hii. Lakini mimi ninachokisubiri kwa hamu ni the END ya hii movie. Please guys stay tuned more drama is coming. Order more nuts, more popcorn please.
 
Mimi niliipenda sana ile filamu ya Maisha Bora kwa kila Mtanzania chini ya Director wake Fastjet kutoka pande za Msoga.
 
Hili muvi vijiwe vyote nchini linajadiliwa si wakubwa si wadogo limeshika mpaka kina mama likasambaa mpaka nje ya mipaka aiseee lipo kimataifa zaidi Mamovie km haya mwisho wake Sterling hugeuka Zombie subiri tuone
 
Barani Africa, Nigeria imeiambukiza nchi ya Tanzania ugonjwa usiotibika kirahisi. Maigizo. The carrier of this disease was the late Kanumba the great in the movie called Dar to Lagos. Mambo ya "this food is too much pilipili". Since then raia wa Tanzania wamekuwa wapenzi wa kutizama maigizo kwenye luninga kama ilivyo kwa Wanigeria.Na Kanumba alijizolea umaarufu mkubwa ajabu. Mazishi yake yalivunja record ya msiba wa Baba wa Taifa. Rest in peace the legend.

Kanumba aliacha pengo kubwa katika tasinia ya Bongo Movies.Kulikuwa na ombwe katika maigizo. Tasinia hii ilianza kupoteza mashabiki kila uchao kwa sababu ya kukosekana kwa wahusika mathubuti wenye kuigiza visa vya kusisimua.

Lakini tangu ujio wa filamu ya Hapa Kazi tu, ombwe hili linaekea kuzibwa barabara.Mhusika mkuu ana kaliba ya Kanumba; anajua kubuni na kuigiza visa vinavyosisimua ajabu. Kwa vile huu ugonjwa kutoka Nigeria umewaathili Watanzania, na sasa wanapenda maigizo ya kwenye TV, awamu hii inaanza kupendwa sana. Sasa hivi kila siku watu hawabanduki kwenye TV zao, wanataka kushuhudia vitimbi na makeke ya 'Kanumba' wao.Na filamu ndiyo kwanza imeanza. Ni filamu ya kusisimua ajabu. Na inaelekea mapema kuvunja record ya mauzo iliyokuwa inashikiliwa na ile filamu maarufu ya "Kasi Mpya Nguvu Mpya" Tayali mamulaka ya Bongo Movies imethibitisha kwamba filamu hii ya Hapa Kazi tu imekamata soko vilivyo. Hakuna movie nyingine inakohoa ndani ya Bongo.

Movie hii itafika kwenye climax pale balaza la mawaziri litakapoteuliwa. Tunaambiwa kwamba wahusika sasa hivi wanajifua vilivyo ili kuendana na kasi ya mhusika mkuu. Hili ni booonge la movie. Muda huu macho na masikio ya hadhira yako wazi muda wote. Sio filamu ya kukosa hii. Kila mtazamaji anaisubiri kwa hamu episode hii. Lakini mimi ninachokisubiri kwa hamu ni the END ya hii movie. Please guys stay tuned more drama is coming. Order more nuts, more popcorn please.

Huo ndio ukweli
 
usipende kujionesha kwamba eti nawewe unaelewa vitu kwa kutumia kigezo cha kupinga wafanyacho wenzako...tuambie umeifanyia nini familia yako ili ikiwezekana tukuige.
 
Back
Top Bottom