Tetty
JF-Expert Member
- Jan 6, 2012
- 26,355
- 21,411
Eti wanamtenganisha Magufuli na CCM! Ni watu wasio na akili tu ndiyo wanaweza kufikiri hivi! Magufuli ni CCM na CCM ni Magufuli!
Jamani Magufuli ndiye aliyekataa kwamba SERIKALI YAKE SI YA CCM.Amesema SERIKALI YA MAGUFULI.Na kwenye KAMPENI HAJAWAHI KUSEMA CHAGUA CCM AMESEMA CHAGUA MAGUFULI.Hivyo basi TANZANIA YA MAGUFULI CHAMA SERIKALI YA MAGUFULI mwaka huu CHAMA CHA MCHWA mnalo.Ndiyo kwanza ameanza kutumbua vijichunusi................wenye majipu wanataka kumfunga speed governor..................
Mmeisoma number eh..............................
Mmezoea kukwiba eh na kusafiri kama kunguru mwaka huu hakuna vilevijimirija vyenu vimeshakatwa.Mwaka huu wote tutapanda daladala tu.