Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

Eti wanamtenganisha Magufuli na CCM! Ni watu wasio na akili tu ndiyo wanaweza kufikiri hivi! Magufuli ni CCM na CCM ni Magufuli!

Jamani Magufuli ndiye aliyekataa kwamba SERIKALI YAKE SI YA CCM.Amesema SERIKALI YA MAGUFULI.Na kwenye KAMPENI HAJAWAHI KUSEMA CHAGUA CCM AMESEMA CHAGUA MAGUFULI.Hivyo basi TANZANIA YA MAGUFULI CHAMA SERIKALI YA MAGUFULI mwaka huu CHAMA CHA MCHWA mnalo.Ndiyo kwanza ameanza kutumbua vijichunusi................wenye majipu wanataka kumfunga speed governor..................

Mmeisoma number eh..............................

Mmezoea kukwiba eh na kusafiri kama kunguru mwaka huu hakuna vilevijimirija vyenu vimeshakatwa.Mwaka huu wote tutapanda daladala tu.
 
Wewe mwimba taarabu unafanya nini humu?

Naendelea kuimba taarabu na kusherekea NAMBA ZINAVYOSOMWA kwa kifupi.....JINSI CHADOMO na wale Wahujumu wa serikali waliotapakaa kwenye taasisi mbali mbali (mchana CCM ..usiku CHADEMA)
 
MOVIE SIO MCHEZO! IMEWAFANYA hata WALE WA UPANDE WA PILI aka CHADOMO WAIGIZE MOVIE NA MAITI KWA TAKRIBANI SIKU 10 lakini haikuuza....

Issue ya misiba achana nayo ndugu.Kilichofanyika Mwanza siyo kitu cha kibinadamu.Tuondoe uchama ubinadamu kwanza.Aliyeuawa si PAKA yule.

Msijione mko tofauti na sisi wapinzani,sote ni binadamu tunastahili heshima na haki ya kuishi kama wanachama wa CCM.
 
Kwa hiyo alipokuwa anawasema polisi kuwa ni mbwa hakujua kuwa na wao wana nafsi kama yake? ?? Malipo nu hapa hapa duniani
 
Naendelea kuimba taarabu na kusherekea NAMBA ZINAVYOSOMWA kwa kifupi.....JINSI CHADOMO na wale Wahujumu wa serikali waliotapakaa kwenye taasisi mbali mbali (mchana CCM ..usiku CHADEMA)
Kwahiyo unaimba taarabu huku unakata mauno kama kawaida yako?
 
Kwa hiyo alipokuwa anawasema polisi kuwa ni mbwa hakujua kuwa na wao wana nafsi kama yake? ?? Malipo nu hapa hapa duniani

Swala la kusema na kuuawa kikatili si sahihi.Hebu imegine ni baba yako au ndugu yako.Jamani tuondoe itikadi zetu,tuache ubinadamu ututawale.Hivi unadhani ndugu wa Mawazo wakiamua kulipiza kisasi inakuwaje???

Polisi wananyanyasa sana watu kwa kisingizio cha amri kutoka juu,hivyo hao wala siwatetei wanatakiwa kujifunza kufanya kazi kwa utaalamu na siyo kuagizwa na mkubwa.

Tofautisha hayo mawili.Kuna siku yatakukuta ndugu yangu hutapata mahali pakufutia machozi.
 
Hivi fisadi Lowassa angeweza kweli kutumbua haya majibu ambayo Magufuli anayatumbua bila ya kugusa maafiki zake? Lowassa angeweza kumgusa Karamagi?

karamagi akiguswa nafikiri sehemu ya utawala uliopita utatingishika, nahisi ni mmoja wa wababe wa kipindi hicho.

magu paka hata colgate tics lijitumbukie lenyewe.
 
Raisi wetu anafanya Kazi nzuri. Kamteua Waziri Mkuu mchapakazi na Kazi ya Ujenzi Wa taifa tunaiona. Tunamuunga Mkono Na tunamuombea. Naamini atatufikisha watanzania tunapotaka. Mungu ibariki Tanzania.
 
Magufuli has grabbed the hearts and minds of a whole continent. The continent has fallen in love with him..
 
He should dearly mean business whole heartedly and nothing less otherwise his tenure would be crashed and tramped on from all angles in the worlds if he plays mediocrsy politikz! Anyway wish him best of luck
 
Africa fell in love with TANU, CCM and it is now falling in love with the son of CCM...
 
He should dearly mean business whole heartedly and nothing less otherwise his tenure would be crashed and tramped on from all angles in the worlds if he plays mediocrsy politikz! Anyway wish him best of luck

This is the truth that some of us who always envious would not like to hear, I advice them to put themselves in a pool of mud as they always wish bad omen to the party chosen by the Tanzanians. CONGRATULATIONS MR PRESIDENT, CONGRATULATIONS CCM FOR CHOOSING MAGUFULI
 
Magufuli has grabbed the hearts and minds of a whole continent. The continent has fallen in love with him..

This is a proof that CCM was right to nominate him as its flag bearer, it is a proof that CCM was serious in choosing a candidate who will fight corruption. It is also a proof that CCM nominated someone who is clean, trustworthy,straightforward & patriotic.Congratulations to CCM think tank i.e Comrade Kinana, comrade Mangula & co
 
We need to support and wish him the best. CCM is a breeding ground of evils, its an incubator of corrupt leaders hence he is fighting will CCM products. It is indeed a touch war as am sure if he continue the war CCM will act against him.
 
Magufuli has grabbed the hearts and minds of a whole continent. The continent has fallen in love with him..

Ni kwa sababu viongozi wa afrika hawapo madarakani kuongoza bali kufirisi nchi kwa kujilimbikizia mali za umma na ndiyo maana wanalazimisha kukaa madarakani mpaka wafe. Mizozo yote hapa Africa inatokana na viongozi wetu, kwani huyu ataiba na wapinzani nao watataka kupindua serikali ili nao waje kuiba, ikishindikana wanaleta vita na wanaokufa ni wale wasio na haki. Kwa kweli Magufuli anawaonyesha viongozi wa Afrika namna ya kufanya kazi. Tujiulize kidogo, Kikwete kakaa madarakani miaka 10, kafanya nini zaidi ya ufisadi, kucheka na kutia taifa hasara?
 
Sifa za kijinga. Ni mapema sana kumsifia mtu ana mwezi tu ofisini. Kila ofisi anapelekwaga anaanzaga kwa mikwara, halafu anakuwa wa kawaida tu
 
Back
Top Bottom