Mabibi na mabwana si haba kumfikishia salamu na pongezi mheshimiwa Rais kokote kule aliko na hasa anapoendelea kuchapa kazi kweli kweli.
Inafahamika rais ni mwenye kushughulika na mafaili mengi na mwenye kuhitaji utulivu wa hali ya juu. Hivyo yeye na aendelee tu kuchapa kazi.
Tumpongeze rais kwa kutokutokea tokea mno kwenye ma TV na ajipange zaidi kuwa na utaratibu huu. Aufanye kuwa endelevu kabisa.
Kuwepo mno kwenye TV kuna leta mkanganyiko sana. Kumbukeni hata ule wa wazi wa siku moja kuwa na masaa 48.
Mheshimiwa Rais umecheza karata kubwa na nzito. Kwa hakika kama ungali kuwa umecheza hivi tangu zamani hata haya makelele ya sasa wala yasingali kuwa yametokea.
Hongera sana mkuu.
Hata tungeonana mwakani tu ilikuwa sawa tu.
Au nasema uongo ndugu zangu?
Ninawasilisha