Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

Nadhan huelewi stephen4440,
Tatizo la Magufuli halikuwa ukali maana hata Nyerere kwa waliokuwepo wanajua jinsi alivyokuwa.
Tatizo la Magufuli lilikuwa ni dhulma, huo ukali wake ungebaki lakini asingekuwa dhulmat watu wote wangempenda sana, rejea hata dhulma kwa watumishi, rambi rambi za tetemeko-kagera, kuwakamata wapinzani wake ili awatoze faini kubwa baada ya uchumi kuzorota n.k
Kwa kweli kwa mambo haya labda uwe mwendawazimu ndio usiyaone
 
Wewe ni kilaza kilicho oza maana hakina thamani.

Hiyo legacy ya mfadhili wenu ipo wapi?
Nini alifanya cha kumkumbuka hapa duniani?

Wewe tulia ili mama Samia aliendeshe gari lililobeba matumaini ya watanzania ambalo lilimshinda mfadhili wako.

Kwa sasa watanzania hawahitaji tena kusikia habari za jiwe, hawana muda huo
 
Hayati Magufuli hakuwa na ukabila, udini wala ukanda bali alizingatia sifa za wateule na namna alivyowafahamu kiutendaji.

Pale Kawe aligombea ubunge mtoto wa dada yake Magufuli akawa namba 1 na Pascal Mayalla akawa wa 176 lakini hayati Magufuli hakumpendelea mpwa wake akapitishwa Gwajima.

Hata Joseph Magufuli watu wamemjua siku ya msiba ila Magufuli angekuwa na upendeleo Joe angeweza kuwa mbunge au na wadhifa wowote mkubwa kama akina Merinyo.

Niishie hapo.

Nawatakia Utatu Mtakatifu wenye baraka!
 
Huyo dogo ni mkemia last time alikuwa anafanya kazi Arusha, Magu alimfanya bilionea na hakushinda kawaida alihonga balaa magu alikuwa anamuaminia gwajima kwa uchawi na ndo muasisi wa SUKUMA GANG ipo voice inasambaa kwenye magroup gwajima akipendekeza namna wasukuma waendeshe nchi ni mambo ya aibu
 
Nani alipita bila kuhonga hata kule Ufipa?
 
Naunga mkono kabisa kuundwa kwa mkoa wa Chato kwa sababu kuu moja, ... nayo ni kuisogeza serikali karibu zaidi na ukanda huu uliopakana na chanzo kikuu cha migogoro ya nchi za maziwa makuu (TUTSI/HUTU conflict zone)!
👊 😎✌️💥☠️☠️☠️💀
 
Je, wajua kazi aifanyayo Joe Magu hadi umfananishe na kupewa ubunge?
Je, wajua kuwa Magu Sr alikuwa genius sana na comedian wa kiwango cha SGR hivyo asengeweza kumleta mwanae smart kwenye ubunge wala ukuu wa mkoa?
Rejea:
1. "Maendeleo hayana chama (vyama*)" lakini matendo yake yalionesha wazi kuwa aliwapendelea wanaccm na kutokupeleka maendeleo majimbo pinzani.
2. "Nchi hii imechezewa sana" huku akiichezea sana- 1.5trilioni ikaingia kibindoni mwake na jamaa zake.
3. Vyeti feki akawafyeka ila akamwacha Makonda akidai haangalii vyeti isipokuwa uchapa kazi
Na mengine mengi
 
Kwani alijua kama atakufa mwaka huu? alijua atapiga mpaka 2035 Ndugai alikuwa amejiandaa kwenda kubadili katiba
 
ndo madhara ya kuwapa wachawi nchi.
 


Asante kwa kuweka japo kiduchu...
 
Jambo la kushukuru MUNGU ni kwamba mpaka sasa hatupo naye
 
Alijua atawapa vyeo mwishoni mwishoni
 
Mbona hayo ya magu yameshapita muachen mzee wa watu apumzike huko aliko.
 

Na mimi naishia hapa.

NB: Mungu huwa anaona mbali sana. Na kazi yake siku zote haina makosa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…