JUAN MANUEL
JF-Expert Member
- Nov 26, 2010
- 7,808
- 16,972
Bungeni kitu gani?kama shemeji(kaka wa janeth Maghufuri) yake alimpa deal la mabilioni ya shilingi kujenga Chato airport,Kuna properties watoto wake wanamiriki mbezi beach dar,hata ukiwa bungeni miaka kumi huwezi kuzipataHayati Magufuli hakuwa na ukabila, udini wala ukanda bali alizingatia sifa za wateule na namna alivyowafahamu kiutendaji.
Pale Kawe aligombea ubunge mtoto wa dada yake Magufuli akawa namba 1 na Pascal Mayalla akawa wa 176 lakini hayati Magufuli hakumpendelea mpwa wake akapitishwa Gwajima.
Hata Joseph Magufuli watu wamemjua siku ya msiba ila Magufuli angekuwa na upendeleo Joe angeweza kuwa mbunge au na wadhifa wowote mkubwa kama akina Merinyo.
Niishie hapo.
Nawatakia Utatu Mtakatifu wenye baraka!