Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

mleta mada anaonekana hajafika hata kigali.. anyway hizo pesa hakutoa mfukoni kwake
Ni kweli sio fedha zake ila zilikuwepo lakini badala ya kufanya mambo kama hayo wapo waliozitafuna tu na kutunyonya.

You can imagine mtu analipwa bilioni 400 fedha za wavuja jasho watanzania na kulipwa milioni 400 Kila siku ila ndio hao wanaoachiwa.

Hii nchi Kuna watu wanaifaidi sana, Ila ipo siku Mungu atasikia kilio Cha wanyonge na kuwarejeshea Nchi yao.

Ipo siku na siku hiyo haipo mbali sana.
 
hata kina pete botha makaburu walioua weusi wote wako peponi kwa jinsi walivyojenga ma fly overs
 
Mwendakuzimu alikuwa mbinafsi sana, alituaminisha hatatokea rais mwngne wa kujenga reli na madaraja, lkn cha ajab hata kabla mzoga wake funza hawajaumaliza, maza Huyo tayari kaanza kujenga daraja kubwa la busisi na reli kutoka isaka to mwanza.
 
Ni bonge la mega structure.

Vyombo vinapishana tu.

Mzee alikuwa anaona mbali kwa sababu hii ni solution ya vizazi na vizazi.

Namshangaa mama anayatoa jela majizi.

JPM peponi!
Humjui Mungu hata chembe.
Yule akienda peponi na shetani ataingia peponi
 
Kwahiyo Ben saanane alipitishiwa hapo?? Au anaenda mbinguni na hilo daraja tujenge lingine
 
Ni bonge la mega structure.

Vyombo vinapishana tu.

Mzee alikuwa anaona mbali kwa sababu hii ni solution ya vizazi na vizazi.

Namshangaa mama anayatoa jela majizi.

JPM peponi!
Umemkumbuka jambazi mwenzako? Ndiyo imetoka hiyo nenda Chato kutambika!
 
Shida yamagufuli uongo wewe umeita daraja mwezako alikua anaita fly over(interchange) ,ndipo hua tunapishani na mwamba wakizamani
 
Yaani wewe ni bonge moja la jinga...
Hustahili kuishukuru serikali kwa kutimiza wajibu wake.
Kama mwananchi mlipa kodi na bosi wa serikali unapaswa kujiuliza je kilichofanyika kimefanyika kwa ufasaha? Na kama kimefanyika Dar je maeneo mengine ya nchi yenye mahitaji kama hayo yatafikiwa lini?
Tatizo ni usimamizi mkuu hata kama pesa haikuwa yake ila kuisimamia tu!

Sent from my HUAWEI KII-L22 using JamiiForums mobile app
 
Ni bonge la mega structure.

Vyombo vinapishana tu.

Mzee alikuwa anaona mbali kwa sababu hii ni solution ya vizazi na vizazi.

Namshangaa mama anayatoa jela majizi.

JPM peponi!
Kwanza una matatizo mawili ya msingi.
1.Wewe ni mshamba, na kutokana na ushamba wako unaona kilichofanyika Ubungo ni kama muujiza na unadhani hakijawahi kufanyika mahali pengine duniani.

Wakati ukweli ni kwamba kwa mji kama dar, kilichofanyika hakifanani na interchange katika miji na majiji ya nchi za wenzetu. Lakini wewe nakufanananisha na hadithi ya kipofu ambaye hakuwahi kuona kabisa katika maisha yake, lakini siku moja akafunuliwa na kubahatika kumuona mbwa kwa dakika moja kisha upofu ukamrudia. Basi toka siku hiyo ikawa kila akifika mahali watu wanapiga stori kusifia kitu kizuri au kikubwa basi yeye akawa akiuliza hicho kitu kinaweza kuwa kizuri au kikubwa kumzidi mbwa? Hata hivyo hakuwa na makosa maana maishani mwake hakuwahi kuviona vitu vingine zaidi ya mbwa. Ni sawa na wewe kwasababu hujawahi kuona interchange yoyote zaidi ya hiyo ya ubungo hivyo kwako unaona huo ni muujiza.

2.Hujui wajibu wa serikali ni nini. Kwako wewe unaona serikali ikifanya kitu ni kama hisani.
Hapa kinachokusumbua ni ukosefu wa elimu ya uraia.
Jielimishe.
 
Yaani wewe ni bonge moja la jinga...
Hustahili kuishukuru serikali kwa kutimiza wajibu wake.
Kama mwananchi mlipa kodi na bosi wa serikali unapaswa kujiuliza je kilichofanyika kimefanyika kwa ufasaha? Na kama kimefanyika Dar je maeneo mengine ya nchi yenye mahitaji kama hayo yatafikiwa lini?
Ila isipotimiza wajibu wake unatakiwa kuishutumu?

Umeandika ujinga
 
Mwendakuzimu alikuwa mbinafsi sana, alituaminisha hatatokea rais mwngne wa kujenga reli na madaraja, lkn cha ajab hata kabla mzoga wake funza hawajaumaliza, maza Huyo tayari kaanza kujenga daraja kubwa la busisi na reli kutoka isaka to mwanza.
Daraja limeanza kujengwa huu ni mwaka wa pili na pia reli ya Mwanza Isaka ilisha aanza kujengwa toka mwaka jana
 
Back
Top Bottom