Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

Umesahau lile swaga la udom akiwachomoa watoto wa wengine kwa kuwaita vilaza huku akimuacha bintiye ambaye kasoma Hadi masters na kumuajiri Mambo ya nje!
Jamaa alikuwa komediani sana-kweli kabisa alitimua watoto wa wengine tena wenye I hadi III za o-level ila kamwacha mwanae
 
World Bank approves 875 mln USD financing to Tanzania​

Pamoja na mambo mengi ambayo yameipaisha Tanzania ni katika utekelezaji wa mipango ya kimkakati kama vile SGR, Usafiri wa anga, Usafiri wa majini pamoja na kuweka barabara za lami nchi nzima. Wanaobeza hawafahamu kwamba Tanzania tulikuwa na barabara za lami za kama kilomita chini ya 5000 kabla JPM hajaanza kufanya mambo yake. Bila kusahau Bwawa la umeme ambalo litaiwezesha tanzania kuwa na umeme nafuu katika ukanda huu.

Mikopo kwa Tanzania kutoka financial institutions sasa sio nongwa kama ilivyokuwa zamani kabla ya JPM. nchi ipo vizuri kiuchumi pamoja na inflation kuwa chini kwa miaka yote wakati JPM yupo madarakani.

Ikumbukwe kwamba JPM alipoingia madarakani hazina kulikuwa hakuna kitu, lakini alipoondoka ameiacha nchi inanawiri. Hata SSH akaona ni vizuri kumzawadia rais mstaafu Mzee Mwinyi gari la thamani ya dola laki 4. Uongozi huu usibweteke, ''usione vinaelea vimeundwa.''
 
World Bank approves 875 mln USD financing to Tanzania - Xinhua | English.news.cn (xinhuanet.com)

Pamoja na mambo mengi ambayo yameipaisha Tanzania ni katika utekelezaji wa mipango ya kimkakati kama vile SGR, Usafiri wa anga, Usafiri wa majini pamoja na kuweka barabara za lami nchi nzima. Wanaobeza hawafahamu kwamba Tanzania tulikuwa na barabara za lami za kama kilomita chini ya 5000 kabla JPM hajaanza kufanya mambo yake. Bila kusahau Bwawa la umeme ambalo litaiwezesha tanzania kuwa na umeme nafuu katika ukanda huu.

Mikopo kwa Tanzania kutoka financial institutions sasa sio nongwa kama ilivyokuwa zamani kabla ya JPM. nchi ipo vizuri kiuchumi pamoja na inflation kuwa chini kwa miaka yote wakati JPM yupo madarakani.

Ikumbukwe kwamba JPM alipoingia madarakani hazina kulikuwa hakuna kitu, lakini alipoondoka ameiacha nchi inanawiri. Hata SSH akaona ni vizuri kumzawadia rais mstaafu Mzee Mwinyi gari la thamani ya dola laki 4. Uongozi huu usibweteke,
''usione vinaelea vimeundwa.''

Tanzania, AfDB sign loan agreements to finance hydropower project - Xinhua | English.news.cn (xinhuanet.com)

Sijakuelewa mkuu
Mama Samia na Magu alishasema ni wale wale
 
Mbowe aliweka wagombea dhaifu nchi nzima

Yaani wewe ni bonge moja la jinga...
Hustahili kuishukuru serikali kwa kutimiza wajibu wake.
Kama mwananchi mlipa kodi na bosi wa serikali unapaswa kujiuliza je kilichofanyika kimefanyika kwa ufasaha? Na kama kimefanyika Dar je maeneo mengine ya nchi yenye mahitaji kama hayo yatafikiwa lini?
 
ni bonge la mega structure.

vyombo vinapishana tu.

mzee alikuwa anaona mbali kwa sababu hii ni solution ya vizazi na vizazi.

namshangaa mama anayatoa jela majizi.

JPM peponi!
Mungu hadhihakiwi, madaraja na mambo ya dunia ni vitu vya kupita na havimpi mtu uhalali wa kuiona pepo, matendo yetu hapa duniani ndio hukumu yetu mbele za Mungu
 
ni bonge la mega structure.

vyombo vinapishana tu.

mzee alikuwa anaona mbali kwa sababu hii ni solution ya vizazi na vizazi.

namshangaa mama anayatoa jela majizi.

JPM peponi!
Huo ni mkopo kutoka WORLD BANK.

Hata kama Rais angekuwa Pierre Liquid angeweza kukopa tu akajenga.

Masuala ya kulipa deni mtajijua huko.

Hakuna akili yeyote iliyotumika hapo.
 
Back
Top Bottom