masopakyindi
Platinum Member
- Jul 5, 2011
- 18,207
- 13,839
Kumbe na wewe mnafiki?Sasa ubaguzi uko wapi hapo?
Tupeni Mbeya nafasi saba za Mawaziri, na huko kwenu mchukue nafasi ya Naibu spika .
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbe na wewe mnafiki?Sasa ubaguzi uko wapi hapo?
Jamaa alikuwa komediani sana-kweli kabisa alitimua watoto wa wengine tena wenye I hadi III za o-level ila kamwacha mwanaeUmesahau lile swaga la udom akiwachomoa watoto wa wengine kwa kuwaita vilaza huku akimuacha bintiye ambaye kasoma Hadi masters na kumuajiri Mambo ya nje!
Bado kupata kisukari tu, other diseases already you've and disturbing!Kalinde kaburi kwenu chato
Sijakuelewa mkuuWorld Bank approves 875 mln USD financing to Tanzania - Xinhua | English.news.cn (xinhuanet.com)
Pamoja na mambo mengi ambayo yameipaisha Tanzania ni katika utekelezaji wa mipango ya kimkakati kama vile SGR, Usafiri wa anga, Usafiri wa majini pamoja na kuweka barabara za lami nchi nzima. Wanaobeza hawafahamu kwamba Tanzania tulikuwa na barabara za lami za kama kilomita chini ya 5000 kabla JPM hajaanza kufanya mambo yake. Bila kusahau Bwawa la umeme ambalo litaiwezesha tanzania kuwa na umeme nafuu katika ukanda huu.
Mikopo kwa Tanzania kutoka financial institutions sasa sio nongwa kama ilivyokuwa zamani kabla ya JPM. nchi ipo vizuri kiuchumi pamoja na inflation kuwa chini kwa miaka yote wakati JPM yupo madarakani.
Ikumbukwe kwamba JPM alipoingia madarakani hazina kulikuwa hakuna kitu, lakini alipoondoka ameiacha nchi inanawiri. Hata SSH akaona ni vizuri kumzawadia rais mstaafu Mzee Mwinyi gari la thamani ya dola laki 4. Uongozi huu usibweteke, ''usione vinaelea vimeundwa.''
Tanzania, AfDB sign loan agreements to finance hydropower project - Xinhua | English.news.cn (xinhuanet.com)
Mbona nimeandika Kiswahili mkuu?Sijakuelewa mkuu
Mama Samia na Magu alishasema ni wale wale
Kila kitu hapo ni Jakaya Mrisho Kikwete, na hapo limechakachuliwa kutoka halisini bonge la mega structure.
vyombo vinapishana tu.
mzee alikuwa anaona mbali kwa sababu hii ni solution ya vizazi na vizazi.
namshangaa mama anayatoa jela majizi.
JPM peponi!
🥱🥱🥱🥱Kila kitu hapo ni Jakaya Mrisho Kikwete, na hapo limechakachuliwa kutoka halisi
Mungu hadhihakiwi, madaraja na mambo ya dunia ni vitu vya kupita na havimpi mtu uhalali wa kuiona pepo, matendo yetu hapa duniani ndio hukumu yetu mbele za Munguni bonge la mega structure.
vyombo vinapishana tu.
mzee alikuwa anaona mbali kwa sababu hii ni solution ya vizazi na vizazi.
namshangaa mama anayatoa jela majizi.
JPM peponi!
Mkuu wewe mshambani bonge la mega structure.
vyombo vinapishana tu.
mzee alikuwa anaona mbali kwa sababu hii ni solution ya vizazi na vizazi.
namshangaa mama anayatoa jela majizi.
JPM peponi!
Huo ni mkopo kutoka WORLD BANK.ni bonge la mega structure.
vyombo vinapishana tu.
mzee alikuwa anaona mbali kwa sababu hii ni solution ya vizazi na vizazi.
namshangaa mama anayatoa jela majizi.
JPM peponi!
Wazee wa CHAKA mmekuja mjini eeeh?? haya keshafika anaongoza malaika sa sijui anawafokea kama huku??ni bonge la mega structure.
vyombo vinapishana tu.
mzee alikuwa anaona mbali kwa sababu hii ni solution ya vizazi na vizazi.
namshangaa mama anayatoa jela majizi.
JPM peponi!